Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Unajua unachoandika au unabwabwaja tu. Unafahamu mambo ya Kaisari yawachiwe Kaisari na mambo ya Mungu yaachiwe Mungu. Unajua jukumu la Askofu katoliki wewe? Yeye ni daraja laukweli kati ya mtawala na wananchi. Anatakiwa kuwa karibu na Watawala ili awasaidie kuwaeleza ukweli hata kama atauawa. Ndiyo maana Kardinali anavaa kofia nyekundu (damu); yupo tayari kutoa damu yake kwa kutetea ukweli.
 
Aliwaita wavaa majoho kwa dharau mwanamke mshenz sana kawaitia nini leo?ovyoo
Labda alifikiri na wavaa majoho nao wana njaa kama wale masheikh wake ubwabwa. Kumbe wenzake na wenyewe wanakula na kusaza kama yeye. Kwa hiyo ni bila bila. Hivyo ameona akubali tu matokeo.
 
Huwezi kuitwa ikuli ukagoma, ni ama uende na usimamie unachokiamini au uende usikilize, unyamaze ama kukubaliana na ulichoitiwa.

Uamuzi utabakia kwa aliyeitwa.
Wewe uko sahihi. Maaskofu wa Katoliki ni watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Hilo liko wazi kabisa kutokana na elimu yao ya falsafa. Utawaita, watakusikiliza. Ila hutakuwa na uwezo wa kuwapa maagizo ya kutekeleza kama ufanyavyo kwa wasaidizi wako wengine.

Hao watu wana serikali yao yenye makao makuu Vatican, wana msimamo wao, imani yao, utashi wao, na maamuzi yao.
 
Unadhani wakifunga hospitali moja kwenye kila jimbo lao tu ambazo nyingi ni referral hivi vituo vya Serikali vya Afya vitachukua wiki ngapi kuhimili huo mrundikano wa wagonjwa ?
Hawana hospital za kihivyo kila Jimbo,mfano tabora wakifunga hospital zao hakuna athari,ruzuku hizo ni janjajanja ya kuziokoa taasisi za kanisa zisife
 
Wamekunywa maji!
Sitting plan ilipangwa na nani? Kuna mtu yuko targeted hapo
 
Duuuhh haya jambo jema sana kama ameona umuhimu na TEC katika siasa za Tanzania japo aliwakemea sana kwa matamko yao manane.
TEC ina nguvu sana maana ni kama utawala ndani ya utawala kwa mifumo yake ya kikanisa.
TEC haina nguvu yoyote,hapo ni siasa jumuishi tu,wajione na wao wamo,mama angekua na mentality ya magu pasingekua na marifhiano wala watu kuitwa hivi,infact baadhi ya wavaa majoho wangekua wanapiga story na lissu
 
Labda alifikiri na wavaa majoho nao wana njaa kama wale masheikh wake ubwabwa. Kumbe wenzake na wenyewe wanakula na kusaza kama yeye. Kwa hiyo ni bila bila. Hivyo ameona akubali tu matokeo.
Wala na kusaza jasho la masikini kwa tozo(sadaka,zaka,fungu la kumi,ruzuku hazina)
 
Mtu aliyesomea falsafa na kuielewa huwa na reasoning ya hali ya juu sana. Kamwe huwezi kumuingiza kwenye uchawa au ushawishi wako kirahisi tu kama unavyofikiri.
2005 hao wasomi wa falsafa walimuita jakaya 'chaguo la Mungu' na kauli nyingi za kichawa,alipokata maslahi yao waka-activate mfumo wao, propaganda dhidi ya jakaya zikaanza
 
ni kawaida viongozi wa kidini kupokea maagizo kutoka mamlaka ili kuondoa sitofahamu kuchanganya dini na siasa
 
wee jamaa jau sana🤣🤣🤣
 
Reading between the lines naona how you would like your religious institution to be as powerful as TEC!
Wakatoliki wanajitosheleza kwa kila kitu na ndiyo maana hawamlambi mtu miguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…