Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Inawezekana ni kweli mlikuwa mnaungwa mkono kwanini badala ya kuiba KURA mkaiba mchakato wote wa uchaguzi
 
Lakini bado mnatumia Bunduki kuzuia watu wasifanye siasa
 
Wenzako walikuwa wanamaanisha anaupiga mwingi "mdomo". Pole sana kwa kutolitambua hilo mapema.
 
CCM hatujawahi kutegemea makaratasi ya kupigia kura kupata rais, mpende msipende 2025 Samia ndo rais, na kwenye chama tutaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia.
Mna uhakika!? Maana mchecheto wa kusema 2025 ni samia mmeanza mapema. Mpaka hapo ni wazi hamjiamini. Huyo bibi yenu atafika 2025 kachoka sana. Hana nafasi tena 2025.
 
Kwani Kabudi anasemaje......
Yupo Madagascar kurudisha ile dawa, anadai hela yetu..

madagascar hawawezi kutuuzia juice ya limao wakaiita dawa, halafu wawazuie wachezaji wetu nyota wa taifa stars kucheza, kwamba eti wana korona
 
Ni upuuzi tu kusema anawajengea miundombinu. Mpaka miundombinu inakamilika watakuwa wanakula nini!? Angewajengea kwanza miundombinu kama anavyodai kisha akawapange huko . Otherwise ni nonsense tu hiyo statement.
 
Mama alidanganywa na kikundi cha kihuni cha akina Makamba
 
Papara zake baada ya kuchukua kiti ndiyo zitamgarimu, na kama kweli CCM huiba kura basi ili mama abaki 2025 wajipange kuiba kweli kweli, la sivyo hali si nzuri. Kibaya zaidi mama hakubaliki hadi vijijini.
Trust me bibi yangu kama wiki mbili tatu zilizopita alikuwa mjini hapa. Yaani huko watu hawampendi kabisa huyo mama. Mbaya zaidi hadi wanawake wenzie.
 
Mna uhakika!? Maana mchecheto wa kusema 2025 ni samia mmeanza mapema. Mpaka hapo ni wazi hamjiamini. Huyo bibi yenu atafika 2025 kachoka sana. Hana nafasi tena 2025.
Yaani 2025 ni Samia hilo halina mjadala kabisa ni utamaduni wetu CCM kwa incubent president hashindanishwi kwenye ngwe yake ya pili.
 
Usisumbuke kushauri mazuzu ,mazuzu ni kenge awasikii mpaka watoke damu
 
Ulitaka awafariji akina nani?? Mbona watu wengine akili zenu hazifanyi kazi? Yaami Msiba wa ccm unataka kuufanya msiba wa kitaifa?

Mama Piga kazi hawa wahuni tutadeal nao mmoja baada ya mwingine.
 
Inawezekana ni kweli mlikuwa mnaungwa mkono kwanini badala ya kuiba KURA mkaiba mchakato wote wa uchaguzi
Hawa wahuni wanashangaza sana. Hakuna aliyekuwa anamuunga mkono shetani bali malaika zake tu.
 
Ingawa watoto wanalia ipo nafasi ya kuwaletea pipi na nguo za sikukuu wakanyamaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…