Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Ati kuna Mwarabu alitaka kuwekeza eneo hilo wakati wa Awamu ya Tano lakini akanyimwa. Awamu hii amekubaliwa na anagharamia ujenzi wa makazi mapya ya hao Wamasai wanaohamishwa huko.

Kama ni kweli lengo lake ni kumilikishwa Hifadhi ya Ngorongoro, kwa jinsi hiyo, hakuna shaka hifadhi zote zitabinafsishwa kwa waliochangia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour" kwa kisingizio cha kuboresha na kuimarisha Utalii
 
Acha bangi, hata kama mna chuki na mama siyo kwa viwango hivi.

Ngorongoro ni urithi wa dunia.
 
Pungu
Punguza hasira.
Punguza wivu.
Subiri matokeo.
 
Huoni kuwa kutangaza utalii wa Tanzania kungeweza kufanywa na wizara husika na taasisi zenye uhusiano na utalii bila kumhusisha moja kwa moja mkuu wa nchi binafsi?
 
 
Acha bangi, hata kama mna chuki na mama siyo kwa viwango hivi.

Ngorongoro ni urithi wa dunia.
Najua Ngorongoro ni Urithi wa Dunia na ndio maana wenye uwezo kifedha wanaitaka.

Kumilikishwa ni tofauti na hilo unalodhani litaathiri nafasi ya Ngorongoro katika dunia. Kwa hiyo yawezekana moja ya sababu ya kubinafsisha, kama nia ni hiyo, itakuwa kulinda Urithi huo, kwani Wamasai kuishi eneo hilo kunadaiwa kuharibu mazingira na kuhatarisha mazingira ya Ngorongoro.
 
Nadhani aliepeleka hili Wazo ndio muhusika hata wakupiga hiyo Hela manake Kampuni Haina usajiri
 
Usimsingizie Jpm, Magufuri hawezi kuchagua kilaza hawe makamu wake,huyu aliletwa na akina Kikwete, Magufuri mwenyewe anakili kuwa chaguo lake lilikuwa Hussein Mwinyi,ila alizidiwa nguvu na hakina Kikwete
 
aisee punguza jazba mkuu, mama anaupiga mwingi.
 
Kauli kuu " nchi haina watu wa kusimamia rais afuate matakwa ya taifa" na hawawezi kumfanya chochote
 

Mapicha picha tyuu ,sorry but in my Faith and Bealive Wemen wher not ment to be Leaders sio kanisan sio msikitini Hii kitu Impact yake in futer ni kubwa sana , mungu ibariki tanzania yangu nakupenda sana my Tz....
Mkuu, Umefanya kusudi ili tukukosoe au ndio kuandika kwako?
Bealive/ believe, Wemen/women, wher/were, ment/ meant, in futer/ in future!

Ingawaje pamoja na makosa yako ya uandishi, ila tutachopaswa kujua ni kwamba kuna wanawake kwenye vitabu vya imani (biblia) walikuwa na hekima na busara. Na wengine walikuwa jasiri mfano Debora,na waliongoza taifa.
Udhaifu wa mtu mmoja hauwezi kushusha hadhi ya wanawake wote.
Tofauti za kibaiolojia haziwezi kutumika kama kigezo cha kuwa kiongozi bora au vinginevyo.
 
Hivi wew kilaza lini utakuwa na akili!!???
Vijisent kidogo tu tiali ushaiuza nchi yako na ndugu zako..
Filamu ni mali ya mtu binafsi sasa raisi alicheza kama mtu binafsi au raisi!???
Hiyo hati miliki ya movie ni ya hao wafadhili au ni ya serikali!??
Kama kacheza hiyo movie ilikuwa ni sehemu ya majukumu ya raisi kwa siku 14
mbona haina hati miliki ya serikali???
Nimemaliza vilaza kama ninyi sina hamna nafasi ya kuendelea kujibizana na nami
pengine akili zitawarudi kwenye pumzi zenu za mwisho.
 
Sasa mkuu amekosea wapi kuwaita primitives? kwanini tunakua hatupendi kusikia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…