Kama hujapona vidonda vya kufiwa na Magufuli nenda Chato ukachimbe kaburi tukuzike uwe karibu naye.Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?
Tujitafakari kama taifa!
Unafahamu maana ya maendeleo au umeandika run kwa vile una bando ya internet?Miaka 60 ya uhuru tuliyoshindwa kuleta maendeleo yanayolingana na rasilimali zetu, ndiyo yanadhalilisha nchi siyo hiyo filamu.
Una matatizo makubwa sana. Tanzania hii hii iliyobatizwa a primitive nation na huyo mzungu wa royal tour unaiona imeendelea?Unafahamu maana ya maendeleo au umeandika run kwa vile una bando ya internet?
Kama huwezi maendeleo ya Tanzania ndani ya miaka 60, basi waweza hata kuwakataa wazazi wako
Sisi mnaotuita eti Sukuma gang tunajitambua sana mura! Tatizo ni hii gang ya waswahili swahili wa Pwani! Kwao kwao Rais kucheza muvi na wamarekani eti ndio ujanja!Wamarekani sio watu wa kuwachezea.
Umeshaona sasa wakianza kutupiga na syombion yao.
Hakuna cha bure kwa hao mabeberu.
Na watatunyoosha haswa maana hatujitambui bado.
Kwa hiyo tuko kama Malaya atazamwaye uchi aingize hela? Jamaa yangu vipi tena?Vinchi vyetu hivi vidogo vidogo vinafahamika siku zote mpaka Ikulu na mataifa yenye nguvu. Kwa hiyo hakuna cha kuficha,wakati siku zote tupo uchi. Tuendelee tu kukaa uchi tena kwa Sasa tumekaa uchi ili tuingize pesa
Kwani ni uongo ?Kuwaita wamasai ni Primitive ni Jambo lisilofumilika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ni agenda kubwa sana kwa nchi zilizo endelea na wananchi wanao jielewaHat hili litapita Happ namshauri rais asirudie Tena Mambo Kama haya manke watz hatujui tunataka nn wengi wanajifanya wajuaji huku hkn kitu upstairs
Hivi dini ya mama nayo inasemaje katika hiliTatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.
Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!
Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.
Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?
Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?
Tujitafakari kama taifa!
Mbona hakuvaa kichupi tuone mapaja,wazungu tumeshazoea sana kuona vichupi chupi.1. Huelewi nachosema, kama audience ni mataifa ya kiarabu obviously ingetengenezwa kwa mahadhi ya kiarabu kama ingekua kwa ajili ya waTanzania ingetengenezwa kwa mahadhi ya kibongo sasa kama target audience ni west lazima uweke mambo yatakayo apeal western culture.
Kama wao kushikana mikono au kucheka Cheka na Rais ni kitu kidogo obvious lazima u depict kwa movie Ili kuwa attract!!
2. Target ni wazungu sababu wao ndio wanamfuatilia huyo Director.... Ukitaka Chinese version au Indian version lazima utafute credible journalist wa ukanda huo ndio utapata viewership unayokusudia. So maadam ni producer beberu kwa ajili ya mabeberu then movie ikiwa kibeberu itauza!! Simple branding formula mbona
rwanda...!..!! hebu google japo upunguze ujinga.Huu ujinga sijui wa royal tour sijui nn hutausikia Rwanda…
Tanzania sijui tunawazaga nini
Lugha ya Taifa Letu bado ni ngumu hata kuiandikaEmbu acheni upuuz wa kukozoa kila kitu yaani
Sio Peter, ni Pira 😅Wa-TZ wenzangu!
Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.
Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.
Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!
Very, Very Sorry!
Nia ya filamu ni kukuza utalii kutoka nje ya Tanzania, na wewe sidhani kama ni mtalii kutoka nje ya Tanzania. Usipoteze muda wako kuitazama.Anyways, all in all hii flamu ilitakiwa ichezwe hapa nyumbani ifanyiwe edition ya kutosha ndo iende huko duniani.
Msione ajabu siku mkikuta mlima Kilimanjaro upo upande wa Kenya.
Hicho cha kumtaja mtu kuwa kafa na korona ni udhalilishaji, hicho kipengele hakikuwa na sababu ya kuwepo.
Najua sitapoteza muda kuiangalia.
Mkuu hupaswi kabisa kunishukia kwa matusi na kejeli kama unavyofanya, wala nisingependa unihusishe na siasa zenu za majitaka...Elewa tu kuwa, mimi ni raia ninayejitambua na kutimiza wajibu wangu kwa taifa kwa kulipa kodi kila mwaka, hivyo ni haki yangu kuhoji ninapoona pesa ninayokusanya kupeleka TRA kila miezi mitatu inatumika vipi na hii "Royal Tour" ni moja kati ya mambo ya hovyo!.Wewe kinakuuma nini? Au ulitaka ukaigize wewe? Nyamafu, hizi ni akiri kama za Jiwe