Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

mnajudge mwili wa amri jeshi "who are you ๐Ÿคจ
ila kakongoroka vibaya, nimegundua hata chawa wake hawampendi ndo maan wanashadadia aendelee kubaki mpka afe coz ye mwenyewe hajielewi
Imagine chawa wakamkimbiza Ethiopia AU ili aende kuaibika....daaah.....
 
Me nikianzaga kumuonea huruma huyu mtu nakumbuka ile siku yake ya uapisho,

anamkimbilia Bwana wake kwa tabasamu kuuubwa na kumbato baada ya kuapishwa! ! ! Like they're so proud of themselves! ! ! I was so shocked!

Nikaamini Evil is real. The Devil is real.

Nafasi ya toba bado anayo: atoke aombe watanzania radhi, akubali sheria ichikue mkondo wake kuleta haki, ashirikiane na vyombo vya sheria kutaja wahusika wote ikiwemo mwanaye Abduli, akubali kunyongwa.

Wakati ananyongwa, akikubali kuwa YESU amekufa kwa ajili yake ana uhakika 100% kuwa baada ya shingo kukatika tu atakuwa na MUNGU mbinguni akihesabiwa mwenye haki kabisa, naye ataishi kwa furaha milele.
 
Hatumuonei huruma, mbona hakuonea huruma ambao watu wao aliamuru wauwawe. Hakuna sympathy kwa mtu kama huyo. Muache achoke
 
She has No peace of mind,
She has failed what used to be a peaceful country Tanzania,has become home of abductors,Inhuman and soon it will come war zone with terror attacks
Blood thirsty academically dwarfs Politicians,
We need divine intervention to put this mess to end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ