Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania inagonga vichwa vya habari kwa Mazuri, Sasa Tanzania ipo msitari wa mbele katika unufaikaji wa fursa mbalimbali za kiuchumi kimataifa ,
Sasa Tanzania haisimangwi Wala kuchafuliwa katika vyombo vya habari au Taasisi za kimataifa, Sasa hakuna mabarua au mataarifa ya kuilaani Tanzania juu ya ukandamizaji wa haki za binadamu, Hakuna maonyo na matahadhari ya kuwekewa vikwazo na jumuiya au Taasisi za kimataifa, Hakuna mwanaharakati anayekwenda Taasisi za kimataifa kutaka Tanzania itengwe au kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, Sasa kila mtu anaipenda na kuikubali Tanzania kwa namna inavyozingatia misingi ya utawala Bora na Sheria katika kuongoza nchi
Sasa kila Taasisi ya kimataifa imerejesha Imani kwa Tanzania,Sasa Tanzania imekuwa Kama funguo yenye uwezo wa kufungua kila kufuri, Sasa Tanzania inaaminika na kila Taasisi na kila nchi na kila kiongozi anatamani kushirikiana na Tanzania katika nyanja tofauti tofauti, Sasa Jina Tanzania unaweza pokelea Msamaha , Sasa Tanzania imekuwa kivutio Cha watalii na wawekezaji wakubwa, Sasa makampuni na wafanyabiashara wakubwa wanatafuta fursa za kuwekeza Tanzania, Sasa Biashara zinaongezeka badala ya kupungua, Sasa watanzania wanaheshimika ,kupokelewa vizuri na kukubalika popote waendapo,
Hakika ushawishi wa Tanzania Chini ya uongozi wa Rais Samia umekuwa mkubwa Sana na umeipatia heshima kubwa Sana Tanzania kimataifa, Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia na kutumia fursa hii ya kuimarika kwa diplomasia yetu ya uchumi inayosimamiwa na kuongozwa na Mama Samia katika kuinuka kiuchumi
Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu