Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

Kaiheshimisha nchi kwa kuwa Sasa Tanzania imechukua nafasi take Kama nchi huru, inasikilizwa na kuaminika na ndio maana unaona ikipunguziwa na kusamehewa baadhi ya madeni take, huo Ni ushawishi mkubwa sana
 
Tanzania Ni imara kuliko wakati mwingine wowote na inasonga mbele na kuimarika kiuchumi kila Siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu na kila siku Kuna mtanzania na watanzania wanaoinuka kiuchumi na kuanza kupata Milo mitatu mezani pao
Mtainuka kiuchumi kwa bei ya Nchi yenu yote na raslimali zenu zote. Ni kama mlevi anayeuza nyumba ili apate ulabu na mademu wazuri. Hela ikiisha ataishi kwenye vibaraza na mke ataolewa na wawajibikaji.
 
Chawa wa raisi
 
Tutainuka kupitia uwekezaji mkubwa unaokuja hapa nchini inayotokana na ushawishi wa Rais Samia kuvutia wawekezaji, hii itaibua fursa za ajira kwa watanzania hasa vijana, kupanua wigo wa Kodi na kuongezaa mapato ya nchi
 
Mafuta ya kula yaliyokuwa yakiuzwa sh 24000 mwaka naa nusu uliopita, leo yanauzwa 48000.

Hizo Ziara labda zinamnufaisha yeye na wapambe wake!
 
Tutainuka kupitia uwekezaji mkubwa unaokuja hapa nchini inayotokana na ushawishi wa Rais Samia kuvutia wawekezaji, hii itaibua fursa za ajira kwa watanzania hasa vijana, kupanua wigo wa Kodi na kuongezaa mapato ya nchi
|Wewe siyo chawa ila kunguni anayengojea kitandani! Hivi kulikuwa na umuhimu kwenda kusainia china|? Niambie bidhaa tutazouza china!
 
Attachments

  • 9B8E5908-BA21-4851-808C-B36B28FC6304.jpeg
    74.6 KB · Views: 2
|Wewe siyo chawa ila kunguni anayengojea kitandani! Hivi kulikuwa na umuhimu kwenda kusainia china|? Niambie bidhaa tutazouza china!
Nazani umeona faida na fursa zilizopatikana kutokana na ziara ya mh Rais China, tumesamehewa Deni la takribani billioni 31, lakini pia fursa mbalimbali za kiuchumi tumezipata zitakazo chochea secta za uvuvi,kilimo,biashara n,k
 
Usihalalishe mawazo yako ya kichawa na kijinga kuwa ya jamii nzima. Unaposema "mamilioni ya raia" yanamkubali Raisi ulifanya utafiti upi kupata hii idadi? Au ni imagination zako za kichawa? Watu kama nyie hamfai kabisa kwenye jamii, Kila kitu ni kusifia tu ili mradi Mitumbo yenu ijae.Utii ukizidi unakuwa uoga,Uoga huzaa unafiki na kujipendekeza.... Endelea kujikomba komba huko kwa wakubwa wako na Uchawa wako baki nao huko huko...Usilete "Nonsense" zako zisizo na kichwa wala miguu huku JF...
 
Nazani umeona faida na fursa zilizopatikana kutokana na ziara ya mh Rais China, tumesamehewa Deni la takribani billioni 31, lakini pia fursa mbalimbali za kiuchumi tumezipata zitakazo chochea secta za uvuvi,kilimo,biashara n,k
Kujisifia kusamehewa deni,huku tunaendelea kukopa ni ujinga wa hali ya juu..
 
Hahahaha we jamaa sijui uko dunia gani
 
Tatizo lako hujui kuwa humu kuna watu wana akili na elimu yao. Hayo kayasememe kwenye vijiwe vya bao huko tandika
 
Siyo siri, baada tu ya kikao kikubwa cha kumuweka madarakani Xi Jin Ping, mama anaingia Bejing kama farasi wa Ngong.
Hapo kapiga bull.
 
Hivi muda wa kusifia sifia upuuzi mnatoaga wapi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…