Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

Nazani umeona faida na fursa zilizopatikana kutokana na ziara ya mh Rais China, tumesamehewa Deni la takribani billioni 31, lakini pia fursa mbalimbali za kiuchumi tumezipata zitakazo chochea secta za uvuvi,kilimo,biashara n,k
31b kati ya pesa kiasi gani wanazo tudai??na ni pesa kiasi gani wanazoondoka nazo kupitia malipo ya miradi wanayoifanya hapa nchini.??

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais Samia Suluhu kuusu kuimarisha diplomasia ni moto wa kuotea mbali aisee watanzania wote tunamuelewa sana mama maana anafanya mambo makubwa sana ndani ya muda mchache
 
Kaiheshimisha nchi kwa kuwa Sasa Tanzania imechukua nafasi take Kama nchi huru, inasikilizwa na kuaminika na ndio maana unaona ikipunguziwa na kusamehewa baadhi ya madeni take, huo Ni ushawishi mkubwa sana
Kweli kabisa Rais Samia Suluhu ameirejesha nchi kwenye mstari maana haya mambo tulisahau kabisa
 
Mimi silipwi kuandika hapa Bali naandika ukweli nao uona katika uongozi wa Rais Samia
Yah right.

Some of us have been here for ages. We can easily tell what is real and what is fake. Keep on with your propaganda. It's your leaving anyway.
 

Sina Shida kabisa na Rais wangu mpendwa. Shida yangu ni wewe Kama mpaka leo ukiona nchi ya Africa inaandikwa vizuri na wazungu unadhani ndo sifa. Usipogusa maslahi yao hawana Shida Ila siku Zote wana ajenda za Siri. Uchumi ndo msingi wa mahusiano yoyote. It’s never a win win situation. Mzalendo fake.
 
Kaiheshimisha nchi kwa kuwa Sasa Tanzania imechukua nafasi take Kama nchi huru, inasikilizwa na kuaminika na ndio maana unaona ikipunguziwa na kusamehewa baadhi ya madeni take, huo Ni ushawishi mkubwa sana

Ila mkuu akili yako ni Sawa kweli? Narudia naipenda nchi yangu na nampenda mama yetu.
 
Wimbo WA Ney kuhusu Tozo ulifutwa , Uhuru WA kutoa maoni uko wap
 
Wewe ni chawa mpuuzi sana!
 
CHAWA ON DUTY
 
31b kati ya pesa kiasi gani wanazo tudai??na ni pesa kiasi gani wanazoondoka nazo kupitia malipo ya miradi wanayoifanya hapa nchini.??

#MaendeleoHayanaChama
Walikuwa na Haki ya kulipwa kiasi chote tulichokuwa tunadaiwa bila kupunguza hata Senti moja, kwa hiyo kupunguza kiasi hicho Kama msamaha sisi Tunashukuru maana Ni kitendo kinachoonyesha Imani kwetu na Nia ya Kuendelea kushirikiana, kwani fedha hizi zitatusaidia katika miradi ya maendeleo hapa nchini itakayo saidia katika mzunguko wa fedha,

Pia kusema wanaondoka na pesa Ni Haki yai na siyo Tanzania tu Bali Ni popote pale mtu anakuwa na haki ya kulipwa stahiki yake, kwa hiyo hatuwezi kusema hatutaki kutoa pesa nje wakati huo huo tunataka miradi,hiyo haiwezekani popote ,
 
Wimbo WA Ney kuhusu Tozo ulifutwa , Uhuru WA kutoa maoni uko wap
Uhuru una mipaka yake inayosimamiwa na Sheria, kanuni taratibu na miongozo mbalimbali, huwezi ukatumia Uhuru wako kutukana au kudhalilisha wengine halafu ukasema huo ndio Uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…