Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

Tanzania Ni imara kuliko wakati mwingine wowote na inasonga mbele na kuimarika kiuchumi kila Siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu na kila siku Kuna mtanzania na watanzania wanaoinuka kiuchumi na kuanza kupata Milo mitatu mezani pao
Kuna wakati unatakiwa kujifunza kwa wengne pia, kla mtu anaviews zake and you can't change that, and ofcourse you can be wrong tu sio dhambi mkuu
 
Kuna wakati unatakiwa kujifunza kwa wengne pia, kla mtu anaviews zake and you can't change that, and ofcourse you can be wrong tu sio dhambi mkuu
Ndio mkuu Tuendelee kukosoana kwa hoja hata Kama tunatofautiana Tusikubali kuvunjiana heshima kwa lugha za matusi, wote lengo letu Ni kuijenga nchi yetu na kutaka kuona ikisonga mbele zaidi
 
Swali Ni je hayo wanayoandika Ni ya uongo? Kwa hiyo hutaki tupongezwe tukifanya vizuri?
 
Wewe ni walewale hamna lolote!
Jitahidi kutunza Maneno yako haya !
 
Uhuru una mipaka yake inayosimamiwa na Sheria, kanuni taratibu na miongozo mbalimbali, huwezi ukatumia Uhuru wako kutukana au kudhalilisha wengine halafu ukasema huo ndio Uhuru
Kwenye ule wimbo alimtukana ?
 
Tatizo lako hujui kuwa humu kuna watu wana akili na elimu yao. Hayo kayasememe kwenye vijiwe vya bao huko tandika
Anadhani ana discuss na watoto wa chekechea akiwaambia sema "a" wana itikia tu "a"...Hajui huku ni JF kila kitu kinahojiwa, kinachunguzwa kwa kina, Na kinapingwa kwa Hoja hata awe Yesu ,mtume hadi Muumba.
 
Leta Basi hoja yako ili ujibiwe kwa hoja
 
Hivi wachina na nchi za magharibi wakitussmehe madeni wao wanapata nini?
Maana nawaza kwamba Kodi za wananchi wao wanaweza vipi kusamehe bila maslahi yoyote kabisa?
 
Hivi wachina na nchi za magharibi wakitussmehe madeni wao wanapata nini?
Maana nawaza kwamba Kodi za wananchi wao wanaweza vipi kusamehe bila maslahi yoyote kabisa?
Kwani misaada tunayopokeaga kutoka marekani na ulaya huwa siyo za walipa Kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…