Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

Umelipwa na utalipwa bahati mbaya viwango vyako vya uchawa vipo chini sana.
Kwani wewe Ni chawa wa Nani anayekutuma hapa kupinga pinga kila kitu? Maana naona akili yako na mawazo yako yanafikiri na kuwaza kuwa kila mtu anayeandika hapa analipwa Kama wewe unavyolipwa kupinga pinga kila kitu hapa
 
Upuuzi mtupu,unajua mikataba aliyoingia huko china?Swala kwamba wachina wote walioshitakiwa hapa bongo waachiliwe,tufungue milango zaidi wachina waje kuwekeza,ndio sharti la kusamehewa bilioni 34!!!! Kweli!! Mama anatumia bilioni 300 kwenye safari,tunatumia bilioni 341,zingine kununua magari,harafu tunauza nchi kwa ajiri ya bilioni 34!!
Hapa wale wadogo zangu mnaofanya kazi kwa mchina,mtashikwa mpaka makalio na hamtafsnya kitu,mchina huwezi kumshitaki!!
Lakini Bora mchina,kuliko Arabs,ambao mama ameanza kuwakaribisha kila Kona,it's totally fucked up.
 
Kwani wewe Ni chawa wa Nani anayekutuma hapa kupinga pinga kila kitu? Maana naona akili yako na mawazo yako yanafikiri na kuwaza kuwa kila mtu anayeandika hapa analipwa Kama wewe unavyolipwa kupinga pinga kila kitu hapa
Jioni kachukue malipo yako Lumumba
 
Nchi ngapi zinabadilishana wafungwa? Nchi ngapi huwa zinawaachia wafungwa wa nchi flan kwa makubaliano flani? Nchi ngapi huwa zinafanya makubaliano juu ya wafungwa wao ? Mwaka Jana tu hapa si tuliwasamehe na kuhitaji wafungwa Wa Ethiopia warudishwe kwao pale alipokuja Rais wao kuonana na Hayati Dr Magufuli? Acha mawazo finyu na kuonyesha upeo mdogo katika masuala ya kimataifa,

Pili naona umeandika uongo uongo mwingi Sana hapa, embu Weka huo ushahidi wako wa kutumika kiasi hicho Cha fedha katika ziara na safari za Rais wetu mpendwa ,siyo kuandika kwa kujifurahisha tu hapa utafikiri unazungumza na watoto wa shule ya msingi wasioelewa kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…