Mwelekeo mzuri kwa ustawi wa taifa letu.Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye.
Acha kebehiHata Kikwete aliwahi kuwaalika wakaishia kunywa juice ya Cerel!
Amina na hili jambo litaongzea mwanga wa njia ya kutoka kwenye taifa lenye mgawanyiko na misuguano.Sawa tunaimani Mbowe ataenda na nondo zilizoshiba kwa maslahi mapana ya Demokrasia
Nashiru na polepole Ikulu walikuwa wanaitawala kipindi hichoooo siyo sasa kwa mama Samia.Kwani wewe hupendi? Au unataka Polepole na Bashiru tu ndiyo wanywe juice ya Ikulu!
Wivu tuu,,kwani chai ya baba yako hiyo.kuna watu walimiss chai na juisi ya ikulu
Umetawaza lkn maana naona ...kuna watu walimiss chai na juisi ya ikulu
Mawazo ya kimaskini saaaana HAYO. Maskini mna shida duuuHata Kikwete aliwahi kuwaalika wakaishia kunywa juice ya Cerel!
Hipi¡!!!??
Wewe unafurahia kipi kwa akina Mbowe kwenda kunywa juice ikulu maana walizinywa sana tu wakati wa JK sasa sijui wewe mwenzangu na mimi unafaidika vp.Nashiru na polepole Ikulu walikuwa wanaitawala kipindi hichoooo siyo sasa kwa mama Samia.
Kukutana ni hatua moja na kufanyiwa kazi kwa makubaliano ni hatua nyingine!Hakuna jipya hapo, wanaenda kuzubaishwa tu na yale macho malegevu.
Kuitwa halafu madai yako yasifanyiwe kazi na kutokuitwa kabisa yote ni yaleyale, kama kweli anamaanisha awape Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya.
Umetawaza lkn maana naona ...
Hater katika ubora wakeHata Kikwete aliwahi kuwaalika wakaishia kunywa juice ya Cerel!