Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Dhalimu ndio nani? Mada inamhusu mama yenu, wewe unakwenda kwa wasiohusika. Hakika Jembe bado linawatesa. Kila kukicha na usiku hamlali mnatafuta mapungufu yake tu. Sawa, lakini haibadili kitu. Legancy yake itabaki maana aliyoyafanya hamuwezi kuyabadilisha wala kumnyang'anya. Hakika kaacha legacy kubwa.
Mkitaka kumpoteza ni kukaa kimya na kuacha kutaja jina lake na matendo yake, vinginevyo mkiendekea hivi hata wajukuu wenu watakuta umaarufu wake uko juu na hapo ndipo mtakapo jua hamjui.
Jina la nani limetajwa hapo au unajishuku?