Kauli yako ni sawa umerudi nyumbani kutoka Safari, na hautaki watoto wakupe kero za hapo nyumbani kwa hoja kwamba wanapaswa kuwasilisha hoja zao kwa dada yao wa kazi kwa sababu tu yeye ndio umemuamini ahudumie watoto kwa niaba yako!!Kero zao wapeleke kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ndiyo wawakilishi wa Rais
Magufuli alikuwa anapenda uchonganishi, Dhulma, uonevu. Pia alikuwa mpenda sifa na alitatumia najukwaa haya kuwachonganisha watumishi wa umma na wananchi. Samia anafanya mambo kibusara na anajua matatizo ya kila sehemu apitayoNimeona maajabu Mkoa wa Geita.
Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini?
Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
Samia hadi sasa hajajua bei Za kg moja ya maharagwe, mahindi na mchele ila angeruhusu wananchi waongee angelijua.Magufuli alikuwa anapenda uchonganishi, Dhulma, uonevu. Pia alikuwa mpenda sifa na alitatumia najukwaa haya kuwachonganisha watumishi wa umma na wananchi. Samia anafanya mambo kibusara na anajua matatizo ya kila sehemu apitayo
Alikuwa bingwa wa Comedian sana.JPM alikuwa hasikilizi kero bali ilikuwa inaandaliwa watu wanamuuliza maswali ya kutafutia kiki za kisiasa. Ilikuwa ikitokea bahati mbaya akauliza mtu ambaye hajapangwa, alikuwa anaishia kumkejeli na vitisho. Yale maigizo tulikuwa tunayoana.
Huyu mama akiondoka madarakani utakuwa wa kwanza kumsema vibaya. Ccm mko kama Hali ya hewaAlikuwa bingwa wa Comedian sana.
Eti mtoto anaenda kumueleza kero ya shule.
Mara Babu kampelekea jogoo na yeye kamnunua.
Mara ananunua mahindi ya kuchoma kule Dumila, huku muuzaji akiwa na Bastola mfukoni.
na maigizo mengine mengi..