Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

kwani tatizo ni nini?
 
Kiama kinakuja dola itakapofika 3000 by december, kila ki2 kitakuwa double digit. Ngoja tuone picha hili linasomekaaje.
 
Wapotoshaji hao mataga na wengi wao Wana ajenda za kumkwamisha mama
Me nadhani huyu jamaa angeuliza kwanza,hakuna nchi bei za mafuta haijapanda, za inategemeana na soko la dunia, sio kila mtu au kampuni binafsi anajiamulia, Corona inatikisa vitu vingi sana, ndo maana bei zinapanda.
 
Kiama kinakuja dola itakapofika 3000 by december, kila ki2 kitakuwa double digit. Ngoja tuone picha hili linasomekaaje.
tutatafutana, another Dow is coming by 2030, wajuzi wa mambo wanatabiria kutokea kwa mfumuko wa bei
 
Me nadhani huyu jamaa angeuliza kwanza,hakuna nchi bei za mafuta haijapanda, za inategemeana na soko la dunia, sio kila mtu au kampuni binafsi anajiamulia, Corona inatikisa vitu vingi sana, ndo maana bei zinapanda.
Hao ni mataga Wana Marengo yao ya kisiasa saizi wanashirikiana na akina Mbowe kusukuma ajenda zao.
 
Mwehu mwenyewe na chuki zako zitakuua. Magufuli anakuhangaisha wakati kashakufa. Unapambana na mzimu wake mwehu wewe.
 
Wewe na wapumbavu wenzio mnatumia vibaya jina la marehemu ndio maana tunaweka rekodi sawa.
 
Kwani hizo bei si vilevile zinachangia na local currency dhidi ya dola au?
 
Wewe mi usinihusishe na upumbavu wako. Badala ya kuzungumzia ndugu zako walio kufa unazungumzia Magufuli kila siku pumbavu sana unafikiri wewe na hao ndugu zako hamtakufa? Uko kama mzimu kafie mbaki usinizoee we mpumbavu.
 
Wajane bwana,uliachiwa watoto wangapi usaidiwe hasira ziishe? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ,Usitufokee kwani sisi ndio tulimwambia afanye dhihaka na ugonjwa? Papai linaweza kupata corona? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hizo bei si vilevile zinachangia na local currency dhidi ya dola au?
 
Uko sawa.

Kuna mataga hapa kazi yao kumsema vibaya mama. Hawana ajenda yoyote. Ni upotoshaji tu eres anafanya. Mataga ni maongomaongo kama baba yao alivyokuwa muongo!
 
Kwa hiyo mafuta na wizi ukishamiri MATAGA peke yao wanaadhirika mkuu? mkuu punguza unyumbu tafadhari.
 
Tatizo la Tz ni MIKODI Mingi kwenye Mafuta hakuna kingin e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…