Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

Sehemu ya akili isiyokuwa na akili, kweli kuwa uyaone. watoto wanaogopa mende duh_ ukubwani kuna chawa.

haki bila wajibu. Bongo akili sifuri mafanikio makubwaaa.
 
Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi wa kukopa na kuongeza deni la taifa kwa kasi ya ajabu

Kazi ya kukopa iendelee
Hakuna Taifa Ambalo halikopi,kikubwa unaangalia unakopa kwa ajili ya nini? Ni aina gani ya mkopo? Riba Yake ipoje? Mkopo unalipwa kwa muda upi? Utapata Nini mahali ulipokwenda kuwek mkopo wako kiuwekezaji?

Serikali yetu imekopa na Tumeona kazi zilizofanyika na miradi mbalimbali ilivyojengwa kutokana na mkopo huo,Tumeona pia bado nchi yetu inakopesheka lakini pia bado tunao uwezo wa kuhimili ulipaji wa madeni yetu. Usimamizi wa fedha za umma umekuwa Ni wa kuridhisha chini ya uongozi shupavu wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Unafaa kuwa mwalimu mkuu au afisaelimu kata, uko vizuri mkuu.
 
Kumbe kuna mashindano
 
Nenda uko kijijini kwenu ukawadanganye wajinga na mashudu yako uliyoyaandika
 
Analizungumziaje hili

 
Ushindi upi?..

Huu wakuongeza deni la Taifa?.
Huu wakurudisha wapigaji kila kona.
 
 
Hilo lilishatolewa ufafanuzi na serikali yetu kuwajibu wazushi na waleta Taharuki juu ya ujio wa ndege hiyo iliyokuwa imetua kwa ajili ya kushusha mizigo,Hii pia inathibitishwa ukweli wa namna ambavyo Tanzania imekuwa chaguo namba moja la wawekezaji,wafanyabiashara na watalii kunakotokana na kuboreshwa kwa mazingira ya kiuwekezaji na kibiashara hapa nchini kwetu.
 
Wewe bhana acha mambo ya kusemea watu wasio kuhusu. Unatakiwa ujisemee mwenyewe.
 
Ushindi upi?..

Huu wakuongeza deni la Taifa?.
Huu wakurudisha wapigaji kila kona.
Wapigaji wapi waliorudishwa na kwa ushahidi upi? Kukopa siyo dhambi Wala jinai hata nchi za ulaya baada ya Vita ya pili ya Dunia zilikopa Sana ili kujenga na kufufua uchumi wao, Tanzania tupo vizuri na Wala hatujaelemewa na Deni la Taifa Ndio maana unaona tunalipa na hata kukopeshwa tunapohitaji. Nani anayeweza kukukopesha hela hapo ulipo wakati anajuwa huna uwezo wa kulipa? Nani anayeweza kukuamini kukupa pesa zake wakati wewe siyo mwaminifu? Tanzania Ni waaminifu na tuna uwezo wa kulipa
 
Mh Samia Boma Yee! Mokili Mobimba! Nzambe na ngai !! Kokabanga Nye Nye nye!!! Mutu ya watu ,namba moya.
 

Ulaya walikopa hela wapi na wewe Tanzania unakopa hela wapi?..

Ni ngumu sana kujua kama wapigaji wamerudi au la kama wewe sio mtoto wa mjini, lakini mfano rahisi ni ziara za PM pale anapokutana na wizi kila mahala.
 
Ulaya walikopa hela wapi na wewe Tanzania unakopa hela wapi?..

Ni ngumu sana kujua kama wapigaji wamerudi au la kama wewe sio mtoto wa mjini, lakini mfano rahisi ni ziara za PM pale anapokutana na wizi kila mahala.
Kama umeweza kuingia humu Jf Basi naamini huwezi unashindwa kujuwa Ni wapi walikopa, lakini napenda kukwambia kuwa marekani aliwakopesha na kuyasaidia Sana mataifa mengi ya ulaya baada ya Vita ya pili ya Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…