Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

Mimi nakupinga wewe! Sijasema "tunakupinga"!!
Sawa nimekuelewa Tate mkuu, kwanini unanioinga,kwamba hujaona juhudi za mh Rais,kwamba hujafikiwa Ni juhudi za mh Rais,Ni changamoto ipi ambayo haijafanyiwa kazi na serikali yetu,Ni wapi na eneo lipi lililo achwa nyuma pasipo kupewa umuhimu,Ni watanzania wapi na wakundi lipi ambao wanaishi kana kwamba hawana haki hapa nchini, Ni Nani na kundi lipi ambalo halijafikiwa na serikali yetu
 
Kila siku juhudi juhudi! Unazingua.
 
Ndugu Zangu,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu.

Rais Samia na serikali yake ameipigana kwa uhodari,ujasiri na ushupavu mkubwa Sana Vita ya kuliletea Maendeleo Taifa letu,Amekuwa Ni Askari mzalendo na mvumilivu katika mapambano haya ya kulipa heshima Taifa letu kiuchumi,Amekuwa mstari wa mbele katika kujenga uchumi shirikishi unamgusa na kumnufaisha kila mmoja wetu pasipo kumwacha mtanzania yeyote nyuma.

Rais Samia Na serikali yake ameweka Alama katika kila Secta utakayo kwenda unakuta kazi kubwa imefanyika,unakuta Rais Samia ameirejesha Kodi na Tozo za mtanzania zikafanye kazi za kugusa maisha ya watanzania,kwa kutatua kero na changamoto zinazokuwa zinawakwamisha watanzania katika maisha yao ya kila siku pamoja na kujenga miradi mbalimbali inayomnufaisha mtanzania,

Rais Samia amemshika mkono kila mtanzania aliyehitaji kushikwa mkono na serikali yake,Rais Samia amezibeba secta zote na kuzipa umuhimu wa kipekee kwa kutambua kuwa watanzania wapo kila secta na hivyo kupuuza secta yoyote ni sawa na kuwapuuza watanzania na hivyo kuwadidimiza na kuwadhoofisha kiuchumi watanzania.

Kila mtanzania amefikiwa na kuguswa na juhudi za mh Rais,kila eneo limeguswa na kubebwa katika mikono na mabega ya mh Rais,kila sehemu kumefikiwa na kutazamwa na jicho la mh Rais ,kila mahali kumepitiwa na kupewa ufumbuzi,kila Kona ni matumaini kwa kesho iliyo Bora Zaidi ya leo.

Watanzania wamesikilizwa na kusaidiwa mahali walipo na wanapofanyia kazi na kuishi, watanzania wamepewa sikio la Rais kuwasikiliza na kuwapa majibu, Rais Samia Amezunguka Kanda zote na kutoa majibu kwa changamoto zinazotukabili,ametoa usuluhishi kwa migogoro, Amatufikisha hapa kwa Amani na utulivu.

Watanzania Tumeshinda kwa kufika hapa tukiwa wamoja na wenye ushirikiano,Tumeungana na serikali yetu na kusimama nayo katika nyakati zote,Tumempa ushirikiano na kumuunga mkono Rais wetu wakati wote alipotuhitaji kufanya Hivyo,Umoja wa kitaifa umekuwa mkubwa na wenye Afya kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Taifa letu,Hatujatoa Nafasi kwa Adui yeyote aliyejaribu kutugawa na kutuchonganisha, Tumekuwa wavumilivu katika changamoto zote tulizozipitia Kama Taifa kwa kutambua na kuona juhudi kubwa zilizofanywa na Rais wetu mpendwa pamoja na serikali yake,

Ni matumaini yangu kuwa umoja huu tulioujenga Sasa tutaingia nao mwaka mpya na Kuendelea na kazi ya kulijenga Taifa letu litakalokuwa Bora Zaid ya hapa tulipo hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Tumejaliwa na Mwenyezi MUNGU kuwa na Rasilimali nyingi ambazo zinatutaka kutumia akili na maarifa katika kuzitumia ili zisibadilike na kuwa Kama laana kwetu kwa kutuacha tukiwa maskini na fukara katikati ya utajiri wa Asili.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Luka katika ubora wako
FB_IMG_1608708500589.jpg
 
Punguza uchawa umeme shida, maji shida unatuambia nini!!?
 
Kichaa sio lazima kuokota Makopo...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Punguza uchawa umeme shida, maji shida unatuambia nini!!?
Unaishi wapi mkuu? Umeme na maji vilikuwa Ni changamoto kutokana na Hali ya ukame iliyokuwa umeikumba nchi yetu,lakini kwa Sasa Hali Ni njema Sana,umeme kwa Sasa unapatikana bila shida baada ya mwabwawa ya kuzalisha umeme kuanza kujaa maji,lakini pia upatikanaji wa maji Ni wa uhakika majumbani Hadi vyombo vya kuwekwa maji havitoshi
 
Kama umeweza kuingia humu Jf Basi naamini huwezi unashindwa kujuwa Ni wapi walikopa, lakini napenda kukwambia kuwa marekani aliwakopesha na kuyasaidia Sana mataifa mengi ya ulaya baada ya Vita ya pili ya Dunia

Marekani aliwakopesha na kuyasaidia sana mataifa mengi ya Ulaya.

Who is Marekani na Who is Ulaya..

Unafikiri marekani kuikopesha na kuisaidia ulaya ni sawa na kuikopesha na kuisaidia Africa....? Ulishasikia kuna Mzungu wa ulaya aliyeenda utumwani? au kuchukuliwa mtumwa? ni mara ngapi umesikia Africa kuwa colonized na hao unaowaona wema na kwenda kukopa kwao? ni mara ngapi umesikia waAfrica kuchukuliwa utumwani na hawa ambao leo hii ni wema na tunaenda kukopa kwao.

Taifa lolote la Africa linalokopakopa hovyo Ulaya na America au China tambua tu haliwezi kutoboa kiuchumi sana litaishia kuwa utumwani na kuwa na madeni makubwa yasiyolipila milele amina..nafikiri unafahamu tafsiri ya neno "Debt trap"..

Mikopo tunayokopa mingi ni kwenda kujengea miundo mbinu ambayo sio biashara ni huduma, na haijawahi kuwa na historia ya kuongeza production au kuspeed up production, tunakopa na kupeleka hela kwenye miradi kama SGR huku hatuna uhakika na poduction yetu matokeo yake hiyo SGR inabakia fasion tu..

Tunakopa huku hatuna nidhamu ya matumizi wala udhibiti wa hizo hela tunazokopa matokeo yake zinaliwa na kuingia kwenye mikataba ya ujenzi kichwakichwa na kuishia kupigwa.

Lini ulisikia Tanzania imekopa kufinance mradi wa uchimbaji wa makaa ya mawe, dhahabu nk au kufinance uchakataki wa gas? au kuanza uchimbaji wa mafuta au Kujenga mamia kwa maelfu ya irrigation schemes pamoja na kufinance wakulima kulima na kisasa kuboost priduction nk.

Unakwenda kukopa huku makusanyo yako yoote yanaishia kwenye matumizi aka operation cost na hujawahi kufanya analysisi kuhakikisha unachokusanya ukitoa matumizi kinabaki baadala yake kila mwaka unaoverspend kipumbavu kwa luxurious kama semina za hovyohovyo, misafara isiyo na maana, migari ya bei mbaya with high fuel consumption, wizi kupindukia nk..
 
Mikopo inayokopwa na serikali yetu Ni mikopo yenye tija na faida kubwa katika uchumi wetu kutokana na miradi mbalimbali inayojengwa,Miradi Kama reli ya kisasa ukamilikaji wake utaleta faida kubwa Sana kwetu watanzania,Ni katika reli hii ambako mizigo mikubwa itapitishwa kuelekea Hadi nchi jirani,na mizigo Hii itapitia katika bandari yetu hali itakayosaidia kuongeza mapato ya kikodi na ushuru,

Lakini pia Ni kupitia reli hii ambapo itasaidia Barabara zetu kupona na uharibifu unaotokana na uzito wa mizigo mizito inayopitishwa.

Mradi wa bwawa la Nyerere nao kukamilika kwake nao utaleta tija kubwa Sana ,kwa sababu itasaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika na kwa Bei nafuu Sana Hali itakayochochea shughuli nyingi za kiuchumi kushamiri na kustawi na kutoa ajira kwa vijana,lakini pia itachochea uwekezaji mkubwa hasa wa viwanda ambavyo umeme wa uhakika Ni kigezo moja wapo Cha ujenzi wake.

Kukopa siyo Jambo baya Bali kukopa mkopo pasipo malengo ndio kosa kubwa na mzigo wa uonevu kwa wananchi wako, watanzania tunaiung mkono serikali yetu kwa sababu Tumeona kazi inazozifanya katika kutuletea maendeleo. Naamini tutaendelea kukopa kwa kuzingatia mikopo yenye mashariti nafuu na ya muda mrefu ili tuweze kuijenga nchi yetu
 
Unajenga reli ukitegemea biashara na nchi jirani ilihali huna mkataba wowote?..
Unajenga reli kutegemea DRC ambako sasa hivi wachina wanajenga viwanda na wakati huo its targeted na Angola, Msumbiji na SA.?.
Reli SGR unapeleka Mwanza na Kigoma ili mizigo ivuke Lake victoria na Tanganyika ambako bado huna meli za kisasa kuvusha hiyo mizigo na eneo husika halina volume hiyo kihiiivyo ya kuja kukulipa hiyo reli yako.

DRC ya Katanga unazungumzia inakoborder na Zambia na eneo lote hilo ndio lenye volume kuubwa ya biashara ikizunganisha Zambia, Malawi, na DRC ambako inajemgwa reli kutukea Nakara port ya Mozambique kuja Zambia na huku tukichuana na Durban port...
South Sudan amepewa eneo kuubwa pale Kenya kujenga dry port kwa ajili ya mizigo yake na DRC pia amepewa eneo kujenga Dry port Tafsiri yake tunagombea mizigo na sio guarantee issue..

Kulinda barabara unahitaji sheria na kuzisimamia maana yake trucks zote zitabeba accodingly kama 15tons watabeba 15tons na si vinginevyo..

Historia inaonyesha Tanzania hata ukiongeza supply kwenye jambo fulani bado bei za kitu husika zitakwenda juu tu, Mfano sukari, cement, mabati nk, 1990 tulikuwa hatuna viwanda bei zikawa juu leo 2022 hivyo viwanda viko kila mahala lakini bado bei ni ziko juu, nakuhakikishia hata hiyo stieggler tupo hapa tuombe uhai itaisha kujengwa na bado bei ya umeme itakuwa juu.... Investiment cost iliyotumika + running cost + madeni, kwenye hiyo Stieggler unafikiri mtanzania unafuu atautoa wapi na lini? say after 20yrs tutakuwa tumelipa madeni na inve cost yetu, depriciation itakuwa ya kiasi gani in 20yrs ili maintenance cost isiwe juu? bado kitanzi kiko palepale na mtanzania ataendelea kuteseka.

Njia pekee ya kujiokoa ni kuhakikisha watu wako wanaproduce excess iliuweze kuexport volume kuuubwa kila kona kuliko kutegemea transit zinazokwenda kwa majirani zako... Ili kuinusuru Tanzania ni kuhakikisha Taifa linakuwa na watu productive kwa kuzalisha mamilioni ya skilled labor force, kuiutilize hiyo labor force, kuwekeza kwenye hiyo labor force kwa kuhakikisha tunawekeza kwenye production zaidi kama kuchimba madini, chuma, gas nk..

Kupata skilled and competent labor force unapaswa kuwekeza kwenye elimu na miundombinu yake vya kutosha, kupata volume kubwa ya production unapaswa kuwekeza kwenye hiyo skillled labor force kwa kuutanua uwanja ipasavyo..
 
Ndugu Zangu,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu.

Rais Samia na serikali yake ameipigana kwa uhodari,ujasiri na ushupavu mkubwa Sana Vita ya kuliletea Maendeleo Taifa letu,Amekuwa Ni Askari mzalendo na mvumilivu katika mapambano haya ya kulipa heshima Taifa letu kiuchumi,Amekuwa mstari wa mbele katika kujenga uchumi shirikishi unamgusa na kumnufaisha kila mmoja wetu pasipo kumwacha mtanzania yeyote nyuma.

Rais Samia Na serikali yake ameweka Alama katika kila Secta utakayo kwenda unakuta kazi kubwa imefanyika,unakuta Rais Samia ameirejesha Kodi na Tozo za mtanzania zikafanye kazi za kugusa maisha ya watanzania,kwa kutatua kero na changamoto zinazokuwa zinawakwamisha watanzania katika maisha yao ya kila siku pamoja na kujenga miradi mbalimbali inayomnufaisha mtanzania,

Rais Samia amemshika mkono kila mtanzania aliyehitaji kushikwa mkono na serikali yake,Rais Samia amezibeba secta zote na kuzipa umuhimu wa kipekee kwa kutambua kuwa watanzania wapo kila secta na hivyo kupuuza secta yoyote ni sawa na kuwapuuza watanzania na hivyo kuwadidimiza na kuwadhoofisha kiuchumi watanzania.

Kila mtanzania amefikiwa na kuguswa na juhudi za mh Rais,kila eneo limeguswa na kubebwa katika mikono na mabega ya mh Rais,kila sehemu kumefikiwa na kutazamwa na jicho la mh Rais ,kila mahali kumepitiwa na kupewa ufumbuzi,kila Kona ni matumaini kwa kesho iliyo Bora Zaidi ya leo.

Watanzania wamesikilizwa na kusaidiwa mahali walipo na wanapofanyia kazi na kuishi, watanzania wamepewa sikio la Rais kuwasikiliza na kuwapa majibu, Rais Samia Amezunguka Kanda zote na kutoa majibu kwa changamoto zinazotukabili,ametoa usuluhishi kwa migogoro, Amatufikisha hapa kwa Amani na utulivu.

Watanzania Tumeshinda kwa kufika hapa tukiwa wamoja na wenye ushirikiano,Tumeungana na serikali yetu na kusimama nayo katika nyakati zote,Tumempa ushirikiano na kumuunga mkono Rais wetu wakati wote alipotuhitaji kufanya Hivyo,Umoja wa kitaifa umekuwa mkubwa na wenye Afya kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Taifa letu,Hatujatoa Nafasi kwa Adui yeyote aliyejaribu kutugawa na kutuchonganisha, Tumekuwa wavumilivu katika changamoto zote tulizozipitia Kama Taifa kwa kutambua na kuona juhudi kubwa zilizofanywa na Rais wetu mpendwa pamoja na serikali yake,

Ni matumaini yangu kuwa umoja huu tulioujenga Sasa tutaingia nao mwaka mpya na Kuendelea na kazi ya kulijenga Taifa letu litakalokuwa Bora Zaid ya hapa tulipo hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Tumejaliwa na Mwenyezi MUNGU kuwa na Rasilimali nyingi ambazo zinatutaka kutumia akili na maarifa katika kuzitumia ili zisibadilike na kuwa Kama laana kwetu kwa kutuacha tukiwa maskini na fukara katikati ya utajiri wa Asili.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Wewee ni chawa ulieyetukukaaa. Wakumbozi!!
 
Unajenga reli ukitegemea biashara na nchi jirani ilihali huna mkataba wowote?..
Unajenga reli kutegemea DRC ambako sasa hivi wachina wanajenga viwanda na wakati huo its targeted na Angola, Msumbiji na SA.?.
Reli SGR unapeleka Mwanza na Kigoma ili mizigo ivuke Lake victoria na Tanganyika ambako bado huna meli za kisasa kuvusha hiyo mizigo na eneo husika halina volume hiyo kihiiivyo ya kuja kukulipa hiyo reli yako.

DRC ya Katanga unazungumzia inakoborder na Zambia na eneo lote hilo ndio lenye volume kuubwa ya biashara ikizunganisha Zambia, Malawi, na DRC ambako inajemgwa reli kutukea Nakara port ya Mozambique kuja Zambia na huku tukichuana na Durban port...
South Sudan amepewa eneo kuubwa pale Kenya kujenga dry port kwa ajili ya mizigo yake na DRC pia amepewa eneo kujenga Dry port Tafsiri yake tunagombea mizigo na sio guarantee issue..

Kulinda barabara unahitaji sheria na kuzisimamia maana yake trucks zote zitabeba accodingly kama 15tons watabeba 15tons na si vinginevyo..

Historia inaonyesha Tanzania hata ukiongeza supply kwenye jambo fulani bado bei za kitu husika zitakwenda juu tu, Mfano sukari, cement, mabati nk, 1990 tulikuwa hatuna viwanda bei zikawa juu leo 2022 hivyo viwanda viko kila mahala lakini bado bei ni ziko juu, nakuhakikishia hata hiyo stieggler tupo hapa tuombe uhai itaisha kujengwa na bado bei ya umeme itakuwa juu.... Investiment cost iliyotumika + running cost + madeni, kwenye hiyo Stieggler unafikiri mtanzania unafuu atautoa wapi na lini? say after 20yrs tutakuwa tumelipa madeni na inve cost yetu, depriciation itakuwa ya kiasi gani in 20yrs ili maintenance cost isiwe juu? bado kitanzi kiko palepale na mtanzania ataendelea kuteseka.

Njia pekee ya kujiokoa ni kuhakikisha watu wako wanaproduce excess iliuweze kuexport volume kuuubwa kila kona kuliko kutegemea transit zinazokwenda kwa majirani zako... Ili kuinusuru Tanzania ni kuhakikisha Taifa linakuwa na watu productive kwa kuzalisha mamilioni ya skilled labor force, kuiutilize hiyo labor force, kuwekeza kwenye hiyo labor force kwa kuhakikisha tunawekeza kwenye production zaidi kama kuchimba madini, chuma, gas nk..

Kupata skilled and competent labor force unapaswa kuwekeza kwenye elimu na miundombinu yake vya kutosha, kupata volume kubwa ya production unapaswa kuwekeza kwenye hiyo skillled labor force kwa kuutanua uwanja ipasavyo..
Asante kwa mchango wako katika adhima nzima ya ujenzi wa Taifa letu,Pila napenda kukwambia kuwa huwezi unashindwa au kuogopa kufanya biashara fulani kwa kuwa tu Kuna mtu anafanya biashara hiyo,hapa utakuwa unafeli kabla ya kuanza biashara husika,maana biashara Ni ushawishi na mahusiano mazuri na wateja wako pamoja na ubora wa huduma inayotolewa ukilinganisha na mwenzio,Hatujengi reli yetu kwa kutegemea mizigo ya majirani pekee lakini tunategemea kuwa kwa malengo yetu ni kuhakikisha kuwa reli yetu inahudumia na mizigonya nchi jirani katika namna na ubora wa huduma ambao utafanya mfanyabiashara yeyote asijute kufanya biashara ya usafirishaji kupitia bandari yetu pamoja na Miundombinu yetu ya reli, Biashara Ni ushindani na tunaamini serikali yetu inalitambua Hilo ndio maana imekuwa na mikakati ya kuboresha huduma za usafiri kwa kupunguza vikwazo na changamoto ndogo ndogo.

Katika suala la uzalishaji kwa ajili ya ku safirisha nje ya nchi Napo serikali yetu inafanya vyema tu,ndio maana katika wizara ya kilimo Tumeona ongezeko la bajeti kutoka billioni Mia mbili na point Hadi kufikia billioni Mia Tisa na point,Hali itakayochochea uzalishaji lakini pia kuchochea maendeleo ya viwanda ambayo kilimo ndio injini yake katika kutoa malighafi, lakini pia serikali imejitahidi kuvutia wawekezaji kuwekeza katika secta hii ya kilimo iliyo tegemezi kwa watanzania ,Kama vile ujenzi wa viwanda cya mbolea ili kusaidia upatikanaji wa mbolea kwa Bei nafuu.
 
Ndugu yangu tunasema kwa uhakika kwa sasa nipo mikoani, na watu waliandikiaha mahitaji yao ila hakuna kinachofofanyika nimepita mikoa 3 Hali ni hiyo hiyo Na kuna mkoa mmoja watu wanaokolewa na mbolea za tumbaku, tembea ndio uje kuchora humu na ushaidi upo wa kutosha ktk mikao hiyo 3.
Unahangaika kabisa kumuelimisha mtu ambaye amechagua kupotoka na kuongea pumba mitandaoni. Hivi kwa mambo yanayoendelea kwa sasa kwenye hii inchi hata mtoto wa darasa la nne anaweza kusimama kwenye jukwaa la umoja wa mataifa na kutoa report na speech bila hata kusoma kwa kutoa kichwani tu.

Ni upumbavu mtu kusifia mambo yanayoendelea sasa.
 
Mimi Ni mkulima Tayari,jembe langu ndio kalamu yangu,shamba langu ndio ofisi yangu,Na mabega yangu ndio begi langu, kwa hiyo usifikiri kuwa Mimi Sina kazi ya kufanya
Ukulima wa kutegemea mvua ambazo zinanyesha kwa kudra ya Mwenyezi Mungu nao ni wa kujivunia?!
 
Ndio Tunaitegemea Mvua za Mwenyezi MUNGU,Hata tupewe mashine za umwagiliaji lakini hatuwezi kuacha kujinyenyekeza mbele za Mwenyezi MUNGU ili Atupatie Neemaa ya Mvua inayoonyesha na kumwagilia kila eneo,Mvua Ni bAraka na ni Neema na Tutaendelea kuomba Neema hiyo kuwepo kwa wakati nchini kwetu ili hata misitu yetu iwe ya kijani na kupendeza vizuri,
 
Back
Top Bottom