PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni kazi ya vyombo vya dola kulinda Watanzania na mali zao.
Watanzania wapo majumbani kwao wameshindwa kutoka leo kwenda kwenye shughuli zao, sasa kama ulinzi wenyewe utaendelea katika mfumo huo unadhani hali itakuaje?
 
Ameshinda nn wakati hayana kikomo?
Halafu aneshinda nn na mliweka road block?
Btw ht hivyo kwisha habari yake , anytime jiandqe na tangazo la nusu mlingoti
😄 🤣 😂
 
Mbona wewe hujakwenda kuandamana? Kama mwanaume jaribu kuingia barabarani uone moto wake .

It's too late mmeshateketeza taifa amani haipimwi Kwa maandamano amani inapimwa Kwa comfortability ya wananchi na kuinjoy public interests without pressure, Kama wew ni baba wa familia ukirudi mtoto anakimbikia chini ya uvungu ukiondoka anaombea Hata ugongwe na gari ufe usife huyo mtoto hana analipoteza, na nyumba haiwe I kuwa na maendeleo vile vile mkeo akigongwa hutaambiwa yaan ni vululu valalala #Failed State
 
Wewe ni sababu mojawapo ya haya mapambano kuwatoa wajinga,wauaji,mafisadi na machawa wasituongoze.wewe na huyu mama yako ni suala la muda tu kupotea jiandae kwa machozi.
 
Ukikaa na Jwtz wale wenye nafasi zq juu ukiwasikiliza wanapinga kabisa kukaa barabarani kama traffic officer tena kujihami dhidi ya mwananchi asyekua na mafunzo yoyote ya silaha . Ila kwa vile ni amri toka juu huwa hawana namna wanakubali tu ili kutoi mamlaka.

Zaidi wanasema Genz wamefanikiwa zaidi kwa kisimamisha nchi kutofanya shughuri zozote za kichumi kwa siku nzima. Kitu ambacho ni hasara kubwa sana kwa taifa .

Kikubwa wanasema kila Genz watakapopanga maandamano serikali itaingia kwenye hasara ambayo itafika wakati watashindwa kuwazuia ni bora wakasikiliza mawazo yao ili kuepuka yote.
 
Unaelewa kazi na wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama au unajiropokea tu utafikiri lilevi la gongo?
 
Siku ya uhuru ni siku ya yeye kujimwambafai uwanjani na wanajeshi wake ila katulizwa kimyaaa. Hajashinda bali kashindwa vibaya mno
 
Wewe ni sababu mojawapo ya haya mapambano kuwatoa wajinga,wauaji,mafisadi na machawa wasituongoze.wewe na huyu mama yako ni suala la muda tu kupotea jiandae kwa machozi.
Wewe ndiye utapotea na ujinga wako.
 
Unaelewa kazi na wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama au unajiropokea tu utafikiri lilevi la gongo?
Ni bora kua mlevi wa gongo GT kuliko kua na elimu ya kukariri theory za watu.
SAMUYA hatoshi pale.
Genz wamefanikiwa pakubwa sana.
 
Ni bora kua mlevi wa gongo GT kuliko kua na elimu ya kukariri theory za watu.
SAMUYA hatoshi pale.
Genz wamefanikiwa pakubwa sana.
Wewe endelea kujificha uvunguni tu . Maana ukileta za kuleta kuchafua Samani yetu ni lazma ushughulikiwe vizuri mpaka akili ikukae sawa. Hatuna utani katika ulinzi wa Taifa letu.
 
Tanzania haina adui yoyote zaidi ya ujinga na incompetence ya watawala, period

Shithole adui yake ni kipindupindu, wizi wa mali umma, mediocre leadership na uchawa hamna anayepoteza resource zake kupambana na failed state
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…