PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona nyie tuyuvi veggies hamjatoka kushangilia uhuru na rais wenu?

Mmeweza kuwacontrol hao migambo sababu kibubu kina chenchi. Siku kikiishiwa mtaomba ardhi ifunguke mtumbukie ndani..!!

Na anguko lenu haliko mbali
Unaelewa kazi na majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama? Kama hujui embu kaa pembeni Dogo.
 
Kahaba hapendwi ni suala la muda tu kitanuka na nyie mbwa wake mtamkimbia..
 
Mungu Ibariki Tanzania. BBC walikuwa wanaviziavizia mitaani sas 12 asubuhi .Wambea wakubwa nyie.Kawaambieni hao EU na wengineo kwamba 'jamani' tumeumbuka.
 
Mjinga wewe

Hujui lolote kwa sababu wewe ni mbwa Koko mtumwa tu uliyewekwa getini mlangoni kubwekea wapita njia bila kujua ndani ya bwana wako kuna nini

Huyo unayesema kashinda, hayupo, ameshakwenda kulala na bibi zake huko Kizimkazi

AMESHASHINDWA, HANA NAFASI TENA TANGANYIKA

View: https://youtu.be/4vbzTJ2FrkI?si=aeCMgKpvAPH4xdf4
 
ICC utakwenda wewe
Nchi hawezi kuachiwa mwehu form four failure,ICC imeshaanza uchunguzi na usijidanganye mme win kwa kutumia vitisho vya bunduki, mmewapa watu options nyingine za kudai haki badala ya maandamano, endeleeni kuongeza kuni za kuwachoma wenyewe
 
J12 tunakipiga tena nchi imesimama na kufilisikaaa.......siku 100 hakuna la maana zaidi kuishi shimoniooo
Uchumi wa nchi umesimama kwasababu ya hofu iliyoletwa na GEN Z baada ya mauaji ya maelfu ya vijana wetu! Serikali haiwezi kubweteka na kusema kwavile hawakuandamana Dar. basi wameshindwa ; serikali imetumia rasilimali nyingi kutaka kuthibiti haya maandamano na zaidi ya yote shuhuri nyingi za kiuchumi zilisimama wakati wa hii taaruki hivyo Serikali imepoteza mapato kutoka vyanzo vyake muhimu ; kama vile kodi za wafanya Biashara waliolazimika kufunga biashara zao kwasababu ya hofu!

Kutokana na shortfall ya mapato Serikali itakayopata, ninashawishika kuamini kuwa Samia ataliingiza Taifa kwenye shida ya kwenda kutafuta mikopo au kuuza rasilimali za nchi kwa matapeli ambao will exploit the weakness of this government to their advantage! Wachina Wameishaanza kuja na Kusaini mikataba ya Siri Chap chap na Samia ; I am sure more crooked so called investors will come. The country should expect investors a' la DP World to be lining up to cash in ; this is why Samia should be stopped from plunging the country into more serious chaos soonest.
Viongozi wa ccm wa hadhi ya wakina BUDODI, MTANDIKA, KAAYA, MWANGOKA mko wapi wakati Jakaya Kikwete kwa mgongo wa Samia anaichezea nchi na kutaka kuipasua vipande vipande kwa tamaa yao ya madaraka ili waweze kuendelea kuiba mali za nchi? Some ccm members must step up within the party to save this country.
 
Sasa ndo msimamishe shughuli zote katika nchi kwa ajili ya watu wachache 2%wasiandamane,nyinyi si ndo mlioshinda uchaguzi kwa asilimia 98%,,watu asilimia 2 wanawatisha nini?!kwann msiwape ulinzi Hawa wachache wasiowakubali waandamane,
Kwanini mnatumia gharama nyingi kuzuia Hawa watu wachache sana katika wengi 98%
 
Kishindo cha kuanguka CCM lazima kiwe kikubwa. Siku hiyo hata wewe chawa mjinga hutasalimika mikononi mwa wananchi
 
Kapuku unayeishi kwa uchawa ndiye utakufa kwani wanaokutupia makombo muda wao wa kuishi umefika kikomo.
Kifo chako kibaya sana . Utakufa muda siyo mrefu. Na ungeingia barabarani ungetwangwa shaba haraka sana ili UFE hapo hapo.
 
Bora kufa kibudu kuliko kukosa hakili
 

Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI
 
Kifo chako kibaya sana . Utakufa muda siyo mrefu. Na ungeingia barabarani ungetwangwa shaba haraka sana ili UFE hapo hapo.
Wewe mshamba kweli kweli unanitishia nyau mimi, huyo mamako muuaji tunamnyoosha mdogo mdogo hadi anaikimbia ikulu
 

Maji hakuna Dar nzima au Napo maadui wamefanya yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…