Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Naona umekosa jibu ukaamua uweke wiki ambayo hujasoma pia.

Marekani pesa haitumiki mpaka bunge lipitishe. Trump alifeli hapo akaishia kufanya maigizo na repair ambazo kila mwaka zipo. Hata Biden amepata tabu huu mwaka wake wa kwanza, hata comfortable majority kwenye senate.
 
Ujinga tu. Imeandika
 
Mkuu umesoma au unabwabwaja tu.?
 
Mkuu umesoma au unabwabwaja tu.?
Hakuna ukuta uliojengwa.... wacha kuleta maneno mengi. Labda hufuatilii siasa za US. Trump alijaribu kutumia ujanja kwenye bajeti lakini hakuna ukuta uliojengwa zaidi ya kufanya repair za kawaida.

Weka picha moja tu ya ukuta aliojenga Trump. For reference huu ni ukuta wa Israel na Palestine.

 


Ndio maana nimekuuliza umesoma au unabwabwaja, CNN inakudanganya.
 
Umejibu vizuri Sana hii,
 
 
Wanaboa kinyama, kama wanafikiri wanamuuza wajue ndiyo wanamharibia kwa watu wanaojitambua. Hii ya kusema Rais Samia katoa wajue inanunuliwa na mataburalasa pekee.
 
Ni hela/kodi zetu zimefanya hayo kupitia serikali,Samia hana huo uwezo! Ujinga peleka kwa wajinga labda mtafanana
 
Na wewe usiwe referee wa mambo usiyoyajua,ni upunguani.

Soma hapa
 
Hivi huu utamaduni wa kusema rais katoa hiki au kile umetoka wapi. Rais hatoi pesa yaje mfukoni kwa mambo ya nchi bora mkasema serikali imetoa hiki au kile maana ni kodi za wananchi zinazotoa hiyo pesa. Sikuwahi sikia kauli hizi enzi za Mwl au zilizofustia mwinyi na mkapa, hebu turudishe angalau ufahamu wa nchi inavyoendeshwa basi
 
Hayo ni mawazo yake kwa utashi wake...msingi na muamuzi uwa ni katiba.

Lete kifungu cha katiba sio mawazo binafsi ya wajinga.
 
Na ile mashine anayotumia spika peke yake nyumbani kwake, anyang'anywe ipelekwe kwenye hospitali ya umma.
 
Kwa hiyo tukisema "Samia afukuza wamachinga barabarani" tutakuwa sawa pia,au sio?
Vipi tukisema "Samia atangaza mgao wa maji Dar?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…