CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Kazi nzuri sana mama anafanya,Asante kwa taarifa hii.Endelea kutujuza na mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuri sana mama anafanya,Asante kwa taarifa hii.Endelea kutujuza na mengine.
Mbeya Kwanini hawajapewa wakati ni Hospitali inayohudumia ukanda wa Nyanda za juu kusini?
Ambao ndio wengi hahaha CHADEMA hoiWanaboa kinyama, kama wanafikiri wanamuuza wajue ndiyo wanamharibia kwa watu wanaojitambua. Hii ya kusema Rais Samia katoa wajue inanunuliwa na mataburalasa pekee.
Sawa sawaAnao sema kwa leo yupo night shift anatibia ndugu zako ICU walio na acute renal failure.
Na unakuta wengi wao hawakatwi hata zile direct tax kama PAYE.Ambao ndio wengi hahaha CHADEMA hoi
Kwani ikiongezwa dhambi iko wapi?Mtwara vipi,hii huduma si inafanyika ndanda st benedict's hospital chini ya serikali?
Kazi iendeleeNa unakuta wengi wao hawakatwi hata zile direct tax kama PAYE.
Aisee unafiki hiyo nchi basi tuHuyo Samia ni tajiri kiasi gani hadi awe anatoa tu mapesa mfukoni mwake?
Kama ni pesa yetu iliyotokana na kodi zetu msiseme kuwa rais katoa, semeni serikali imenunua. Samia sio serikali.
Unafiki upi?Aisee unafki hiyo nchi basi tu
Pesa ni za nani? Utajiri kaupata lini? Nini kazi ya bajeti iliyopitishwa na bunge?Wewe ndio unamchonganisha,Miradi ni ambition za Rais elewa
Ametoa kwenye mshahara wake? Hata tofauti na meko nae kilaza===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za
Ukilaza upi? Huoni hiyo kazi?Ametoa kwenye mshahara wake?hata tofauti na meko nae kilaza
Kwanini tatizo ni nini mkuu?Pesa ni za nani? Utajiri kaupata lini? Nini kazi ya bajeti iliyopitishwa na bunge?
Shida ni kusambaza uongo wa kijinga ili wote tufanane kuwa wajinga,hili haikubaliki.Elewa kama unavyotaka kuelewa wewe shida iko wapi?
Rais ametoa,rais katoa,rais blaah blaah.Pesa ni za nani? Utajiri kaupata lini? Nini kazi ya bajeti iliyopitishwa na bunge?
Samia anawakilisha taasisi ya Uraisi, kwa iyo akisema Samia ni sawa mkuuHela ni yetu sio ya rais. Period. Acha kukariri.
NdioSamia anawakilisha taasisi ya Uraisi, kwa iyo akisema Samia ni sawa mkuu
Safi Sana Mama Samia===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.
View attachment 2006409
VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
wakati wote namfurahia Rais Samia,===