Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ee si wanashangilia kumrarua Ndugai ambae kimsingi amelirarua bunge!

Ngoja sasa wakati wakuirarua mahakama pindi gaidi akipigwa miaka 40
 
Hoja zake zinakuwa valid akiwa bungeni pekee?
Hoja anazipitisha akiwa bungeni kama msimamizi wa bunge then anakuja public kuzikosoa huyo mtu yuko sawa kweli?
 
Watu wenye akili hatuna upande,tunaomba makosa ya pande zote
Tunasisitiza tuandike katiba mpya
 
Shiriki michakato ya kidemokrasia, acheni kususa susa hapo mtaweza kuleta effect ya hiki unachokihofia.

Hatuna viongozi sasa bali majambazi ndani ya dola
Mtumishi mwenzangu Pep una maoni gani kuhusu paragraph ya mwisho?[emoji23][emoji119][emoji23]
 
Samia naye ataanguka vibaya anakoelekea siko
 
Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tu
Personally Ndungai ni nguruwe maji kama wewe, hastahili kuonewa huruma na kiumbe yoyote hapa duniani.

Huu muhimili wa bunge umenajisiwa na serikali katili ya CCM kwasababu ya nyie waimba mapambio mnaokata viuno kupinga mabadiliko ya katiba.
 
Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Atakuwa kapiga mahesabu.
Akomae anyang'anywe kadi, au ajiuzulu abaki na kadi na ubunge wake.
Kama ana mpango wa kuja kutoka kisiasa baadaye angekomaa ili afukuzwe - ili baadaye atumie kufukuzwa kwake kama kete ya kujidai nayo atakapokuwa anashawishi wananchi.
 
Kwani ni lini kipindi cha Ndugai bunge lake liliidhibiti serikali acheni kutudanganya aondoke tuu labda sasa tuungane akiwa pembeni maana ndiye aliyeliangamiza bunge.
Nani wa kumdhibiti? Ngedere wanaoshangilia miti kuungua?
 
Personally Ndungai ni nguruwe maji kama wewe, hastahili kuonewa huruma na kiumbe yoyote hapa duniani.

Huu muhimili wa bunge umenajisiwa na serikali katili ya CCM kwasababu ya nyie waimba mapambio mnaokata viuno kupinga mabadiliko ya katiba.
Wewe ndio nguruwe maji!

Kwani katiba hii ya sasa inataka rais kuingilia bunge?

Watu wanaojitokeza kumkosoa Hangaya mnawapopoa mawe kwa kuangalia sura zo! Nyie si ndio mang'ombe kabisa?
 
Kwani ni lini kipindi cha Ndugai bunge lake liliidhibiti serikali acheni kutudanganya aondoke tuu labda sasa tuungane akiwa pembeni maana ndiye aliyeliangamiza bunge.
Kwa akili yako hiki kilichotokea spika ajae ataisimamia selikali?

Kwa taarifa yako hapa bunge ndio limepigwa nyundo kabisa.
 
Wewe ndio nguruwe maji!

Kwani katiba hii ya sasa inataka rais kuingilia bunge?

Watu wanaojitokeza kumkosoa Hangaya mnawapopoa mawe kwa kuangalia sura zo! Nyie si ndio mang'ombe kabisa?
rudi shule utagundua kuwa katiba ya sasa inampa rais upenyo wa kunajisi bunge na mahakama.

Huyo Hangaya ni mwenyekiti wako na kutwa nzima unazungusha viuno hapa kumtetea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Ee si wanashangilia kumrarua Ndugai ambae kimsingi amelirarua bunge!

Ngoja sasa wakati wakuirarua mahakama pindi gaidi akipigwa miaka 40
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Kila mtu anajuwa Ndugai hana akili ya kujiongoza, ndio maana aliambiwa awachukue Covid-19, bila kutumia akili, katiba wala kanuni, aliwaingiza na kuwapigania. Hivyo leo anapotaka ajiongoze, anakwenda hovyo, anapigwa hadi na nusrat, hii inatokana na kiburi, kujiona!
 
Ni kweli lakini acha iwe hivyo.Si ndo hao hao walikataa katiba mpya.Na bado hiyo katiba itaendelea kuwasigina hao ccm mpaka wote tuongee lugha moja "Tunataka katiba".
 
rudi shule utagundua kuwa katiba ya sasa inampa rais upenyo wa kunajisi bunge na mahakama.

Huyo Hangaya ni mwenyekiti wako na kutwa nzima unazungusha viuno hapa kumtetea.
Toka juzi wewe ndio unazungusha viuno kushangilia kitendo chake cha kushambulia bunge kupitia kwa spika ndugai!
 
Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.
Ombea amani usiombee watu wavurugane...
ni kubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…