Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23]Mimi nafurahia aendelee kukanyaga zaidi kwa sababu wanaojitokeza kumkosoa tunawashambulia kwa mawe kwa kuangalia sura zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Mimi nafurahia aendelee kukanyaga zaidi kwa sababu wanaojitokeza kumkosoa tunawashambulia kwa mawe kwa kuangalia sura zao
[emoji23][emoji23][emoji23]Ee si wanashangilia kumrarua Ndugai ambae kimsingi amelirarua bunge![emoji23][emoji23]
Hoja anazipitisha akiwa bungeni kama msimamizi wa bunge then anakuja public kuzikosoa huyo mtu yuko sawa kweli?Hoja zake zinakuwa valid akiwa bungeni pekee?
Watu wenye akili hatuna upande,tunaomba makosa ya pande zoteHaya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Mtumishi mwenzangu Pep una maoni gani kuhusu paragraph ya mwisho?[emoji23][emoji119][emoji23]Shiriki michakato ya kidemokrasia, acheni kususa susa hapo mtaweza kuleta effect ya hiki unachokihofia.
Hatuna viongozi sasa bali majambazi ndani ya dola
Samia naye ataanguka vibaya anakoelekea sikoKilichofanyika kwenye uchaguzi mkuu uliopita ndiyo kuchonga mzinga huko na hata 2025 itakuwa hivyo hivyo ndiyo maana chief Hangaya anajiamini kupita maelezo kwani ameshaona kumbe inawezekana kabisa kupata kura za kishindo bila kupigiwa kura na wapiga kura.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Eti ng'ombe[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]ng'ombe zinashangilia muhimili wa bunge kunajisiwa na executive.
Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tung'ombe zinashangilia muhimili wa bunge kunajisiwa na executive.
Personally Ndungai ni nguruwe maji kama wewe, hastahili kuonewa huruma na kiumbe yoyote hapa duniani.Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tu
Atakuwa kapiga mahesabu.Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]
Nani wa kumdhibiti? Ngedere wanaoshangilia miti kuungua?
Wewe ndio nguruwe maji!Personally Ndungai ni nguruwe maji kama wewe, hastahili kuonewa huruma na kiumbe yoyote hapa duniani.
Huu muhimili wa bunge umenajisiwa na serikali katili ya CCM kwasababu ya nyie waimba mapambio mnaokata viuno kupinga mabadiliko ya katiba.
Kwa akili yako hiki kilichotokea spika ajae ataisimamia selikali?Kwani ni lini kipindi cha Ndugai bunge lake liliidhibiti serikali acheni kutudanganya aondoke tuu labda sasa tuungane akiwa pembeni maana ndiye aliyeliangamiza bunge.
rudi shule utagundua kuwa katiba ya sasa inampa rais upenyo wa kunajisi bunge na mahakama.Wewe ndio nguruwe maji!
Kwani katiba hii ya sasa inataka rais kuingilia bunge?
Watu wanaojitokeza kumkosoa Hangaya mnawapopoa mawe kwa kuangalia sura zo! Nyie si ndio mang'ombe kabisa?
🤣🤣🤣🤣🤣🙌[emoji23][emoji23][emoji23]Ee si wanashangilia kumrarua Ndugai ambae kimsingi amelirarua bunge!
Ngoja sasa wakati wakuirarua mahakama pindi gaidi akipigwa miaka 40
Wapi tulipowahi kusema Ndugai aliidhibiti serikali?Kwani ni lini kipindi cha Ndugai bunge lake liliidhibiti serikali acheni kutudanganya aondoke tuu labda sasa tuungane akiwa pembeni maana ndiye aliyeliangamiza bunge.
Ni kweli lakini acha iwe hivyo.Si ndo hao hao walikataa katiba mpya.Na bado hiyo katiba itaendelea kuwasigina hao ccm mpaka wote tuongee lugha moja "Tunataka katiba".Mkuu . Katiba tulionayo hii ya 1977 ni mbaya kabisa. Katiba Imemfanya Rais kuwa mungumutu , ambaye huwezi kuhoji wala kupishana naye mawazo.
Hoja ya Ndugai ilikuwa na mashiko ukilinganisha na msimamo wa mama. Lakini Tanzania hii , Rais ni mungumutu huwezi kuhoji hatua zake. KATIBA MBAYA
Toka juzi wewe ndio unazungusha viuno kushangilia kitendo chake cha kushambulia bunge kupitia kwa spika ndugai!rudi shule utagundua kuwa katiba ya sasa inampa rais upenyo wa kunajisi bunge na mahakama.
Huyo Hangaya ni mwenyekiti wako na kutwa nzima unazungusha viuno hapa kumtetea.
Ombea amani usiombee watu wavurugane...Mungu tulipie kisasi wote wavurugane watiane hasira, si unajua mtu akiwaga na hasira anaropoka? Na anachoongea kwa wakati huo ndo ukweli, watueleze ilikuwaje siku ile. Am enjoying the movie.