luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Nyamaza kwani sisi tulivurugwa kidogo? Malipo ni hapa hapa duniani wavurugane tujue mengi.Ombea amani usiombee watu wavurugane...
ni kubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamaza kwani sisi tulivurugwa kidogo? Malipo ni hapa hapa duniani wavurugane tujue mengi.Ombea amani usiombee watu wavurugane...
ni kubaya
ndungai ni kunguru maji kama wewe siwezi kumuonea huruma kamwe.Toka juzi wewe ndio unazungusha viuno kushangilia kitendo chake cha kushambulia bunge kupitia kwa spika ndugai!
Kwa akili yako hiki kilichotokea spika ajae ataisimamia selikali?
Kwa taarifa yako hapa bunge ndio limepigwa nyundo kabis
Mbona yeye mwenyewe Ndugai ndiye kinara wa kulipiga nyundo, uwepo wake ndio ungezidi kulizika kaburini kabisa. Tuungane kudai katiba mpya kama hautaki hili uishawishi wako utakuwa wa kinafiki.Kwa akili yako hiki kilichotokea spika ajae ataisimamia selikali?
Kwa taarifa yako hapa bunge ndio limepigwa nyundo kabisa.
Kumbe mnajua kwamba aliharibu bunge sasa mnashangaa nini watu kufurahi Ndugai kujiuzulu.Wapi tulipowahi kusema Ndugai aliidhibiti serikali?
Ndugai: Ndoto ya Mihimili huru rasmi Imeyeyuka
Wacha kukariri.
Wewe ndio nguruwe maji!ndungai ni kunguru maji kama wewe siwezi kumuonea huruma kamwe.
Mimi natatetea separation of power kwasababu hii katiba mnayoitetea nyie mataga pori ndiyo inasababisha huu unajisi unaofanywa na rais dhidi ya bunge.
Kama hupendezwi na kilichofanyika jikite kwenye kutetea muhimili kwa kudai katiba mpya na sio kumlilia ndugai personally.
Wewe ni mtetezi wa maslahi binafsi ya Ndugai ndiyo maana unalia-lia hapa kama kuku yatima.
Tunahitaji katiba mpya itayojenga taasisi imara zinazojitegemea,
Katibu wako mkuu wa CCM amewasisitiza nyie uvccm acheni upambe, simameni na taasisi acheni njaa za kipuuzi hayo matumbo ndiyo yalisababisha makalio yakatobolewa.
Kumbe mnajua kwamba aliharibu bunge sasa mnashangaa nini watu kufurahi Ndugai kujiuzulu.
Wewe ndio nguruwe maji!
Kwani katiba hii ya sasa inataka rais kuingilia bunge?
Watu wanaojitokeza kumkosoa Hangaya mnawapopoa mawe kwa kuangalia sura zo! Nyie si ndio mang'ombe kabisa?
Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tu
😂🙌😂🙌😂🙌😂Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tu
Aondoe wote wa mahakama, ni matapeli watupu ndiyo hawafai kabisa.Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Wewe ndio ling'ombe namba 1 maana toka siku ile hangaya amemchamba ndugai wewe ni kushangilia tu
Personally Ndungai ni nguruwe maji kama wewe, hastahili kuonewa huruma na kiumbe yoyote hapa duniani.
Huu muhimili wa bunge umenajisiwa na serikali katili ya CCM kwasababu ya nyie waimba mapambio mnaokata viuno kupinga mabadiliko ya katiba.
😂😂😂😂😂😂🙌Wewe ndio nguruwe maji!
Kwani katiba hii ya sasa inataka rais kuingilia bunge?
Watu wanaojitokeza kumkosoa Hangaya mnawapopoa mawe kwa kuangalia sura zo! Nyie si ndio mang'ombe kabisa?
Rudi shule ndiyo utagundua kuwa katiba ya sasa ina matobo yanayosababisha separation of power iwe kiini macho.Wewe ndio nguruwe maji!
Nioneshe ni wapi katiba hii hairuhusu separation of power?
Matendo ya ndugai wote tunayajua na yapo kinyume na katiba lakini,
kilichofanyika hajapigwa ndugai ila limepigwa bunge! Na ni kinyume na katiba hii hii iliyopo!
Wapumbvu hawaelewi hili. Ndio maana mnashangilia mkifikri kuondoka kwa Ndugai ndio mwisho wa matatizo.
Ni kama vile mlivyoshangilia kifo cha Magufuli mkifikiri mambo yenu sasa yatanyooka kumbe ndio yakapinda zaidi.
Nyie mijitu bure kabisa.
Hii mijitu ni mipumbavu sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Waziri wa mambo ya ndani , hana siri zozote za kivita, wala hausiani na jeshi...Hii nchi hata waziri wa mambo ya ndani mwenye siri zote za kivita aliwahi pigwa chini na maisha yalisonga.
Sembuse job.
Sukuma gang ndio kitu gani?Rudi shule ndiyo utagundua kuwa katiba ya sasa ina matobo yanayosababisha separation of power iwe kiini macho.
Tunahitaji katiba mpya itayojenga misingi imara ya separation of power,
Tunahitaji katiba mpya itakayopunguza mamlaka ya rais yanayosababisha kuwa juu mihimili mingine.
Wewe ni mtetezi wa Ndugai personaly ndiyo maana unalia-lia kama mjane hapa.
Kama upo real achana na utetezi wa watu binafsi, tetea muhimili kwa kudai katiba mpya itayopunguza mamlaka ya rais.
Katibu wako mkuu wa CCM amewasisitiza nyie uvccm acheni upambe kwa viongozi, simameni na taasisi acheni njaa za kipuuzi hayo matumbo ndiyo yalisababisha makalio yakatobolewa.
Sukuma Gang mnazidi kuzama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgogo atatesekaje?
Ujumbe wake ulimchoma sana Hangaya ndio sababu alipanic namna ile. Na utaendele kumtesa hadi 2025!
Mgogo hata baada ya kukosa hicho kiti cha uspika yeye bado anapata kila kitu.e Moyo mgogo.
Sasa akiwashughulikia msianze lialia.Asipoacha double standard,atachokonolewa tu.
Sasahivi namba inasomwa na Sukuma gang wote na BavichaRudi shule ndiyo utagundua kuwa katiba ya sasa ina matobo yanayosababisha separation of power iwe kiini macho.
Tunahitaji katiba mpya itayojenga misingi imara ya separation of power,
Tunahitaji katiba mpya itakayopunguza mamlaka ya rais yanayosababisha kuwa juu mihimili mingine.
Wewe ni mtetezi wa Ndugai personaly ndiyo maana unalia-lia kama mjane hapa.
Kama upo real achana na utetezi wa watu binafsi, tetea muhimili kwa kudai katiba mpya itayopunguza mamlaka ya rais.
Katibu wako mkuu wa CCM amewasisitiza nyie uvccm acheni upambe kwa viongozi, simameni na taasisi acheni njaa za kipuuzi hayo matumbo ndiyo yalisababisha makalio yakatobolewa.
Sukuma Gang mnazidi kuzama 🤣🤣🤣
Makundi ya kuonea ma kuonea yapo kitambo sana, akiyaratibu ndugai na awamu yake tangulizi, hivyo huu hautakuwa mwanzo ila mwendelezo au kukomaa Kwa Hali ya uonevu, na ukosefu was uhuru wa mihimili.Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Chadema since day one wamezoeya manyanyaso ya serikali katili ya CCM, yani kwao hakuna maumivu mapya ambayo hawayajui.Sasahivi namba inasomwa na Sukuma gang wote na Bavicha