Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mengi ameyafanya kwa sababu ya mkopo huo wa Covid wa billion 10 kwa mpigo; hauwezekani kuwepo miaka yote minne iliyobaki na hata mitano itakayofuata. Hiyo ndiyo ilikuwa pointi ya ndugai kuwa ni lazima watu wakubali tozo; lakini dah! kuna mhimili na mhimili. Kuna mhimili wa chuma, mhimili wa zege na mhimili wa mbao.Umesema vyema. Huyu mama adhibitiwe kidogo. So far ana mema mengi kafanya ila ili la kushurutisha muhimili mwingine sio afya kwa demokrasia
pamoja na kuwa mama alilichochea sana kuliweka kwenye headline, tatizo kubwa limekuwa ni kwenye mihemko ya wana CCM wachumia tumbo. Nape aliyewahi kusema Bungeni apewe taarifa ya mikopo, sasa hivi hasemi lolote katika mkopo huu mkubwa kuliko yote iliyowahi kupokelewa katika historia ya nchi.