Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Sehemu ya bahari ya Hindi kutoka Zanzibar hadi pwani ya Tanganyika
Mpaka wa Tanganyika ndani ya Bahari ni Maili 100 kutoka Maili 12 Mashariki mwa kisiwa Cha Unguja. Tanganyika baharini inapakana na Ushelisheli Comoro. Hivyo, Wazanzibar tulieni dawa iwaingie vizuri maana hata visiwa vya Unguja na Pemba vinapatikana ndani ya mipaka ya Tanganyika, hivyo vyote ni Mali ya Tanganyika. Ndo maana hatuna taabu sana Wazanzibar maana nyie mali yetu.
 
Unasema hivyo kwa kuwa watanganyika ni dhulmati, mmezoea kuiba rasilomali za Zanzibar na kujimilikisha mazima.
 
tpaul hivi Pemba siyo sehemu ya Zanzibar? Mbona Samia huwa haendi huko wala kufanya uwekezaji huko?

Nashauri., Samia amuige Magufuli kwa kuwajengea wananchi wa nchi ya Zanzibar daraja la kuunganisha Pemba na Unguja ili kurahisisha usafiri baina ya hivi visiwa.

Imewezekana daraja la Kigongo - Busisi na huko nchi ya Zanzibar inawezekana kujenga daraja baina ya Unguja na Pemba

Mbwa wapumbavu oyeee🀣🀣🀣
 
Huyu mama ni mbaguzi hata kuliko watanganyika. Namshangaa sana.
 
@tpaul hivi Pemba siyo sehemu ya Zanzibar? Mbona Samia huwa haendi huko wala kufanya uwekezaji huko?
Kote huko uwekezaji unatekelezwa mkuu..

Pia soma hii..
 
Hizi ni mbinu za wazanzibar kutuibia wa Tanganyika,wa Tanganyika tunathaminiwa na wazanzibar na wazanzibar kuutambua Muungano ni pale wanapotaka kutuibia lakini uhalisia wa muzanzibar raslimari zote za Zanzibar ni za wazanzibar wenyewe suala la muungano kwa raslimari za Zanzibar muungano haupo Mali za wazanzibar ni wazanzibar,muungano upo kwenye raslimari za wa Tanganyika.

Mtanganyika Zanzibar hata kipande cha ardhi haruhusiwi kumiliki wakati wazanzibar ni haki kwao kumiliki ardhi Tanganyika,wamasai Zanzibar hawaruhusiwi kutembea na fimbo na siyo kwamba tunawachukia wazanzibar ila kwenye ukweli,ukweli usemwe kwakuwa wazanzibar wanaajiriwa Tanganyika hata kwenye wizara ambazo siyo za muungano wazanzibar ni mawaziri wakati katika serekali ya Zanzibar na wizara zake wa Tanganyika hawaajiriwi.
 
Kweli kutesa kwa zamu. Huku bara naona ujenzi wa barabara ni kama ume stuck kabisa
Yap,
Tatizo lingine ni Tanganyika kukopa mikopo mikubwa kwa ajili ya Zenji kutumia, halafu inalipwa na Tanganyika pekee..
tpaul
 
Hii mikopo ni midogo sana ukilinganisha na mikopo aliyokopa magufuli kujenga Chato.
 
Astafaghallah! Nyie majitu wa bara ndio mnakula hawo wadudu ndio maana mmekuwa na roho mbaya za kudhulumu rasilimali za wazanzibar bila huruma.
Kwani anayewaongoza pande zote ni mtu wa bara? Kula kitimoto upate afya ya akili
 
Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Huu muungano mbona watu wanaupenda sana ?

Na kila upande una malalamiko.

Kwanini mambo yasirudi kama hapo pichani kila mmoja aanze upya, kwani lazima watu waungane?
 
Muungano ambao sehemu moja inanufaika sio Muungano huo
 
Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Haya ndiyo mambo ambayo wazanzibar hawataki. Magufuli katumia mabilioni ya fedha kujenga kwao lakini yeye anakuja kutumia peanuts kujenga stadium uchwara wakati rasilimali za nchi zinatakiwa kunufaisha pande zote mbili za muungano
 
Huyu Hajawahi kuwa Serious.
Utaona mradi gani wa maana ataanzisha mwenyewe katika utawala wake baada ya kumaliza SRG.
 
Mbona mnamchanganya sasa, mlitaka maendeleo yapelekwe wapi? pemba, unguja au arabuni?
 
Mbona mnamchanganya sasa, mlitaka maendeleo yapelekwe wapi? pemba, unguja au arabuni?
Tunataka maendeleo yapelekwe ,,Zanzibar na Rais Samia kwa ukubwa uleule ambao Magufuli alipeleka Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…