Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Alifanyia tanganyika. 😀😀
 
Je, watanganyika hawana haki ya kumiliki ardhi Zanzibar?

Tatizo la Wazanzibari mmejawa na choyo, ghilba, ubinafsi na tamaa.

swala la ardhi ni swala la kisheria, na hizo sheria zilitengenezwa na watananganyika sasa kwanini uwalaumu wazanzibari?
 
mapata yote yanayotokana na muungano mumekuwa mukiyala kimya kimya toka muungano ulipoanza
Mapato gani wakati bahari nyeti mmejimilikisha mnavua tu jinsi manavyotaka?
 
lakini nyinyi si ndio munalalamika anaipendelea Zanzibar, labda mungetuainishia hapa icho anachopendelea
Mbona nilichokiandika hapo hakina uhusiano na unachoniuliza au ume quote wrong comment?
 

Mapato gani wakati bahari nyeti mmejimilikisha mnavua tu jinsi manavyotaka?
Bahari ni mali ya Watanganyika. Punguzeni tamaa, ridhikeni na visiwa vyenu na karafuu.
 
Andiko limejaa ubinfsi sasa ,Zanzibar si mpo na Rais wenu
 

Mkuu PEMBA CCM ilishafukuzwa
 
Bahari ipi ni mali ya watanganyika?
Bahari ya Hindi pale nyuma ya ikulu ya Magogoni kuanzia Mahandakini (mpakani na Kenya)-Jasini-Moa hadi maingilio ya mto Ruvuma Baharini kule Mtwara mapakani ya Msumbiji kuelekea Bahari kuu hadi mpaka wa Kimataifa ndani ya Bahari kuu kuelekea Ushelisheli na Comoro. Niongezee???
 
Bahari ni mali ya Watanganyika. Punguzeni tamaa, ridhikeni na visiwa vyenu na karafuu.
Bahari ni mali ya bara tangu lini nyie wazurumishi? Nyie makafir mnapenda sana dhulma. Inshallah Allah atawalipa kadri ya matendo yenu maovu.
 
Huyu muimba taarabu anazidi kutukosea sana watanganyika Kwa kuchota pesa zetu tunazokamuliwa Kodi Kila siku na kujenga miradi ya kihuni ya sport academy Kwa manufaa ya Zanzibar ambao hawakatwi Kodi yeyote
WATU NI WAJINGA SANA, SPORT ACADEMY INAJENGWA NA CRDB BANK, BANK IMEONA ILIFANYE HILI VOLUNTARY
Once you join chadema negatives wise start build up"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…