Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Pole sana mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nimejikuta nalia wallah, why Jah anaruhusu haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nimejikuta nalia wallah, why Jah anaruhusu haya?
Acha urongo hizi sheria hakuzitunga JPM zilianza kipindi cha Mwinyi baada ya Mwalimu kustaafu alipojengewa nyumba na JKT, mumezidi kumuonea JPM banaMsimtafutie sababu Mama hizi sheria kazitunga mwenyewe JPM wakati wake na alishamkabidhi Mwinyi na Mkapa ya Kikwete alikuwa amkabidhi wiki 2 kabla hajafariki hapa anatimiza haki za kisheria. Suala la sheria mbaya au nzuri hilo ni jambo lingine lakini zote zilipishwa bungeni tena kwa makofi na sisi tukawapa tena 99% mwaka jana. hakuna kulalamika kazi iendelee.
Ha haaa. Haaaaaaaaaaa kwiyoooooo naomba maji ya kunywa nafwaaaa.MELI YA NYAN HAIJAWAH KUBEBA AKIL HATA SIKU MOJA SIKU ZOTE HUWA INABEBA MAHIND
Hao walioshiba hawamjui mwenye njaaHivi tangia ujana wake wooote mpaka urais hadi kustaafu, Yeye kikwete alikuwa hana nyumba?.Au ndo ule mwendelezo wa matumizi mabaya ya pesa za umma?.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Sijaelewa, Yaani Kikwete anaishi nyumba ya kupanga?
Muuuuuh labda alikuwa amepanga kule msoga.Hao walioshiba hawamjui mwenye njaa
Nchi hii masikini badala ya kuangalia wananchi masikini, wao wanajigawia mavitu ambayo wala hawayahitaji
Wewe Kikwete, Umri wote huu, nyumba wapi na wapi? —Ina maana huna nyumba wewe?
Magufuli mwenyewe kahamia nyumba yake ya Masaki naona ile ya pale ada estate ostabei watakua wamemuachia Joseph .Oh asante, ila wakubwa wanaipenda Dar pamoja na kuwa makao makuu ya nchi ni Dodoma, utakuta hata mwendazake kajichagulia plot ya kujenga jijini Dar, ila hawa wakubwa nao hiyo mijengo sijui wataifanyia nini kwa maana familia zao za karibu hakuna ambaye ni lofa, mwishowe zitabaki kuwa mijengo ya popo.
Naona mkuu na mnayashusha kweli, kina Mwinyi migari ya milioni 400.Saaanaa
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo
Acha ujinga weweNaona mkuu na mnayashusha kweli, kina Mwinyi migari ya milioni 400.
Hakika matagaa wanakoma
Kabisa mkuu! Inabidi Samia yeye apige mara 10 ya hizo ili mataga wazidi kunyooshwa,Acha ujinga wewe
Nyie ile trillion 1.5 mlifanyia nn?
Lazima tuwanyooshe mataga woteee
Tumerudi ulingoni Sasa
JPM alimkabidhi Mwinyi nyumba maeneo ya Masaki. Nyumba ya JK ilikuwa inajengwa bahari beach na JPM aliitembelea siku aliyomkabidhi Mwinyi ujenzi ulikuwa unaendelea.Nyumba gani tena!jpm si alishawapa
Ova
Lazima tuwakanyage bila kujali umevaa helmet au laa!!!!Kabisa mkuu! Inabidi Samia yeye apige mara 10 ya hizo ili mataga wazidi kunyooshwa,
Kabisa mkuu!Lazima tuwakanyage bila kujali umevaa helmet au laa!!!!
Kamuulize ndugai kama hao covid 19 hawamnyimi usingizi kwa jinsi watu wslivyomkalia kooni....Watanzania wacheni unafiki. Wapo wabunge 19 pale bungeni hawastahili kuwa pale wanalipwa na serikali karibu milioni 230 kila mwezi mbona sikusikii ukilipigia kelele?
Au unaambiwa kuwa mzalendoWatumishi wanaambiwa wasubiri, serikali haina pesa.