Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete
mtupe fao la kuachishwa kazi/kuacha kazi nasie tujenge mapema yakwetu. mnataka mpaka tufike miaka 60 watoto wetu muwaite wanyonge sababu hawana urithi?
 
Naona wakati tunamzika mafuguli pia tutaizika na ccm mda sio mrefu
Na uzuri katiba ipo vizuri, haisemi rais atapoteza urais kwa kuhama chama kilichompeleka Ikulu. Hivyo CCM wakimzingua nae atawazingua na kuhamia chama kingine au kuunda chama kipya, and we will support her. Rejea Rais Bingu wa Mutharika Sr dhidi Bakil Muluzi, mpaka leo chama cha Bakili Muluzi hakiamini kilichotokea.
Karibu Katiba zoote za Afrika zinafanana kuhusu hicho kifungu
 
Hawa watawala ni wachoyo na wabinafsi hakuna maelezo.
Kugawana Ulithi na pesa za walipa kodi ambao wengi ni maskini wa kutupwa hospitali hakuna dawa hakuna madarasa hivi huwa wanawaza nini mioyoni mwao?
Aliyepewa Benz ataliendesha lini na wapi?
JK ana nyumba kila kona kwa nini lakini?
This is ridiculous
Nchi tajiri mfano mzuri USA Canada UK etc wastaafu hawapewi zawadi za magari sijui nyumba kwani hiyo inaashiria kuwa ni RUSHWA SIO FADHILA
Ukistaafu ni jukumu lako kununua nyumba na mortgage utalipa kama wengine, Gari la serikali utapewa na dereva was serikali was serikali kama unahitaji gari la familia utanunua kwa pesa yako japo ulinzi utapewa...
Lipo jambo tusilolijua
Hii tabia ikomeshwe
Hakuna la maana mlilowafanyia wananchi kujilipa fadhila
Mungu Yupo
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nimejikuta nalia wallah, why Jah anaruhusu haya?
 
Nakushauri usijipe presha sana unaweza kufa kabla ya siku zako angalia maisha yako acha kuumizwa na mafanikio ya wenzako.
Wee hebu niache au ni Riz1? Mbna unaniandama sana kila niki comment? Kwani wee unaumia kipi mie nikitoa dukuduku langu? Msieeeeeeew
 
Wee hebu niache au ni Riz1? Mbna unaniandama sana kila niki comment? Kwani wee unaumia kipi mie nikitoa dukuduku langu? Msieeeeeeew
Mimi nakuambia kwa nia njema tuu. Vipi mzima lakini dear cocastic [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji23]
 
Na mtaendelea kuumiaaa kama mnawafatilia
Ndomana nasema pambaneni na hali zenu
Na nyie tafuteni kivyenu

Ova
Sio kila anayepinga huu udhalimu bas hana cha kwake au hayupo buzzy na mambo yake, uzalendo kwanza. Kheeeeeh
 
Mimi nakuambia kwa nia njema tuu. Vipi mzima lakini dear cocastic [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji23]
Toka hapa, yaan mambo mengine yanaudhi kwakweli, tukisema mnajifanya kutoa neno,. Au mnanufaika na huu udhalimu?
Tuache utan kwenye mambo serious khaaaah.

Nwei mie mzma, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toka hapa, yaan mambo mengine yanaudhi kwakweli, tukisema mnajifanya kutoa neno,. Au mnanufaika na huu udhalimu?
Tuache utan kwenye mambo serious khaaaah.

Nwei mie mzma, [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuma kanamba ka simu unywe Pepsi basi .angalau upunguze hasira hata mimi naumia ujuwe cocastic
 
Ipo masaki ya Ben
Oh asante, ila wakubwa wanaipenda Dar pamoja na kuwa makao makuu ya nchi ni Dodoma, utakuta hata mwendazake kajichagulia plot ya kujenga jijini Dar, ila hawa wakubwa nao hiyo mijengo sijui wataifanyia nini kwa maana familia zao za karibu hakuna ambaye ni lofa, mwishowe zitabaki kuwa mijengo ya popo.
 
Sio kila anayepinga huu udhalimu bas hana cha kwake au hayupo buzzy na mambo yake, uzalendo kwanza. Kheeeeeh
Hakuna cha mzalendo bongo
Mtu ukipata line piga ila kwa step

Ova
 
Back
Top Bottom