Mimi naweka ushabiki pembeni, ni sawa wakuu wa nchi lazima wapate privilege kiswahili fasaha nadhani upendeleo kutokana hadhi waliyoshika katika nchi, ila kuna kitu kimoja ndicho wananchi wangepigania na nadhani haki yao kabisa. wao kuweka sheria kwa viongozi wa juu mpaka kwa speaker wa bunge kuwa wapate 80% ya mishahara ya wakati huo wa Rais hapo haikuwa haki kwa watumishi wengi ambao wamefanya zaidi ya miaka 35 kazini. Kwa maana mishahara wa mwaka 80 sio mshahara wa 2021 na hata kwa purchasing power sio haki shilling 200 ya mwaka 80 sio ya leo 2021 hata pipi hupati. badala ya kulilia haya ya viongozi kupata binafsi sina tatizo na hili ila sheria ingepitishwa pia watumishi wote kupata asilimia 80% ya current salary kwa nafasi walizokuwa nazo kabla ya kustaafu hilo nadhani ndio jambo la msingi kuliko hizi kelele za nyumba na benz.