Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

60yrs now

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Watu wanalishana chai humu ila nadhani mshahara atakuwa kwenye milioni sita hivi au tano anyway just guessing ila milioni mbili huo mshahara nakataa japo mie sio Polisi
Mshahara wa DC ni milioni 3 na RC ni milioni 5, sasa je anaweza kuwazidi ma boss wake?
 
Kubambukiza watu kesi kukwepesha upelelezi na ulaji rushwa haitamuacha salama ,muepuke Sana huyu ndugu ysko na pesa zake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni



Nini Siri ya Samia kuwaamini sana watu wa kigoma? Hawa ndo wakigoma aliowateua:

1. Philip mpango
2. Katanga
3. Kafulila
4. Murilo
5. Mambo Sasa
6. Ndalichako

7. Machali
8. Dr fransis Michael
9. N.k
Sasa unaongea kitu gani vlhvyo tuwatu wa Burundi ndio unasema kawaamini au chance imetokea ,subirini awamu nyingine mtabaki wawili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kamanda wa kanda maalumu ana 2.4 sawa na headmasta mwenye digrii aliyeanza kazi 1999!

Afisa elimu wa wilaya anaweza kumlipa ocd na ocs kisha akawalipa migambmn wa kituo kizima.

Anaanza kuishi kwa ujanja ujanza wa 10 per na kuuza uhamisho na vyeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…