Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Mama anaendelea kupanga safu upya, amechoka kubambikiwa watu 'asowajua' vema.Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Mzee ebu punguza sigara mtu hawez kuwa CDF hivhiv.Usitegemee kumuona mwanamke kwenye hiyo nafasiNdio maana kampandisha cheo ili akidhi vigezo
Umeshindwa kufungua code hapo
CDF Mwanamke yuko njian aises😀😀
Nyota MojaKwahiyo gari lake litakuwa na nyota ngapi? Kwa wenye kufahamu utaratibu.
Kwahiyo gari lake litakuwa na nyota ngapi? Kwa wenye kufahamu utaratibu. ...
Sio rahisi, huyu aliyepo kawekwa na nani? Kumtoa CDF kabla ya umri wa kustaafu ni ngumu sana.CDF mpya anakuja
Hata ubrigedia ni issue za kuwekaweka usawa tu. Vyeo vya kijeshi sio lelemama. Unaona huko secret service alikuwa mwana mama anashindwa kutoa order ya kushuti mpka kidogo trump auwaweMzee ebu punguza sigara mtu hawez kuwa CDF hivhiv.Usitegemee kumuona mwanamke kwenye hiyo nafasi
ADC si cheo mkuu ni protocol tu so amepanda toka col to brigadier general ataweza fika juu zaidi coz anaweza vushwa to GeneralHuwez kutoka ADC ukawa CDF
Ukioma hivyo kuna sehemu anataka amuweke kamwamini
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Ukiona hivyo ujue anataka kumpiga chiniAmiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
Exit door ?
Kwahio kamuondoa kimtindo?Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI.
Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena Mpambe wa Rais. Atapangiwa majukumu mengine ya kijeshi.
View attachment 3051961
SanaHongera kwake
Nyota mojaKwahiyo gari lake litakuwa na nyota ngapi? Kwa wenye kufahamu utaratibu. ...