Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Sabaya atafungwa maisha, i knew this will come, sasa imefikia, muda si mrefu atakutwa na tuhuma kubwa kubwa na kufungwa muda mrefu huyu kijana amekuwa mpuuzi kabisa..
Mh. Rais Samia safiiii kabisa kabisa, umesikia kilio cha watanzania
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Kuna clip toka hotel ya Mbowe akiwa na mabunduki akitesa wafanyakazi na kufanya uahlifu.
By the way source yoyote ya information kama wewe ni kiongozi mzuri ifanyie kazi. Mitandaoni mbona mnawafunga watu kwa taarifa za mitandaoni?
 
Anatakiwa awe amekamatwa muda huu
 
Mzee wa kusifia kila kitu.yaani ubongo wako umesitiwa CCM ikiclik hujiulizi mara 2 unaporomosha misifa tuu. Ukachunguzwe ubongo wewe si bure.
Ulitaka usetiwe Chadema kama weweπŸ™„πŸ™„
Jiongeze bhana unaaibika huku
 
Sabaya kaua watu wengi sana, Mungu ni shahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…