Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mbowe baba laoNdio atamuelewa Mbowe ni nani? Hahahaha Mbowe ni Mtoto wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe baba laoNdio atamuelewa Mbowe ni nani? Hahahaha Mbowe ni Mtoto wa mjini
Kuna clip toka hotel ya Mbowe akiwa na mabunduki akitesa wafanyakazi na kufanya uahlifu.Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Anatakiwa awe amekamatwa muda huuRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Mie mwenyewe nimemuwekea imoji ya kushangaa.hahaa atakuaa bwax wknd hii...misn u ma'am
Kanijibu hivi sijui ni kweli, ngoja badae ntacheki goggle, maana mhNeno la kireno hilo wangu. Lina maana ya kufadhili.
Hahahahaa unatukumbusha machungu ya 17th..ushindweHuu Uzi unakimbia kuliko hata wa Marehemu Jiwe. Dakika 35 posts zinaitafuta 300??
Saa hizi anacheka tu, natamani nipate connection ya WhatsApp group ya CCM nione wanavyokorogana saa hiziMbowe baba lao
Safi mama bado na yule RC wa Mbeya
Ulitaka usetiwe Chadema kama wewe🙄🙄Mzee wa kusifia kila kitu.yaani ubongo wako umesitiwa CCM ikiclik hujiulizi mara 2 unaporomosha misifa tuu. Ukachunguzwe ubongo wewe si bure.
Ahhaahaha leo@Macho mdiliko kazidiwa na rahaKanijibu hivi sijui ni kweli, ngoja badae ntacheki goggle, maana mh
Hivi hii report na clouds waliokula hela yale wameiripoti?
😂😂😂😂😂😂😂
Nazungumzia Uzi mpendwa! Hahahaha 7yya kwishineyHahahahaa unatukumbusha machungu ya 17th..ushindwe
Sabaya kaua watu wengi sana, Mungu ni shahidi!Ole Sabaya alikuwa Mungu mtu, alijifanya anajua kila kitu, ualimu yeye, udaktar yeye, u fanya biashara yeye, tajir yeye, usalama wa taifa yeye, fitina yeye. Alikuwa mtu hatar kuliko wote Kilimanjaro asiyeogopa kitu chochote na kiongoz yeyote.
Namshukuru MAMA, Rais wangu Samia hatuna cha kukupa nakuombea kwa Mungu akulinde na akupe busara uendelee kukupa hekima. Tumepoteza Ndugu zetu kwa sababu ya Ole Sabaya, Ndugu zetu wameumizwa mno na Ole Sabaya.
Bado kuna yule polisi alimwambia Mbowe kuwa hushindi