Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Hawezi kuwaondoa kwa matakwa ya mtu tu, unatakiwa kuuanika uchafu wao ili kujustfy unachokisema vinginevyo itatafsiriwa kama chuki inafsi kati yako na hao unaowataja
Kuanika uchafu wao, uchafu wao hauufahamu?
 
Afuataye ni wewe!
 
Ole Sabaaya alikua mshenzi sana wa kutumia mamlaka yake na polisi, huyu jamaa kuna unyama mwingi sana amefanya kuliko huo unaowekwa wazi kwenye mitandao. Ana kitambulisho cha TISS ndio ngao yake kuu kutishia watu na kutapeli, amekigeuza kama ID ya kufanyia uhalifu, wamnyang'anye na afikishwe mbele ya kamati ya maadili ya utumishi.

Halafu kuna Ally Hapi, Dk Hamis Kigwangala na Kheri James, mama samia awaangalie kwa jicho la tatu. Hawafai na wana scandle nyingi sana huku uraiani.
 
jambazi hili ushahidi ni wazi ahsante Mungu
 
Ukitaka mataga wafurahi we waambie maza na mwendakuzimu marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja.
 
hii si kwa ajili ya kuwademsha chadema[emoji23][emoji23]

tulieni kwanza nao wafurahi.
 
Tumeanza na Sabaya

Tuendelee kuwataja wote wanaoharibu image ya utawala wa mama ili watumbuliwe.

Mimi naaanza na Ndungai huyu ndiye mtu nataka aondoke anaisababishia sana serikali hasara.

Na analeta mgawanyiko ndani ya utawala wa awamu ya 6.

Taja wote na uhuni waliofanya.
 
kwani makonda kafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23]

yuko insta huko anazurula na nissan v8 wala hana habari na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…