Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Sidhani kama alikuwa mtendaji mmbovu. Inaweza ikawa hisia au maneno tu.

all in all haya ni matokeo ya kutokuchagua watu kwa umakini hasa maeneo nyeti kama hayi
 
Na anamiliki sheli mpya nyingi njia ya mby-dsm
 
Hiyo 16 bila magufuri isingepatikana,mkwere yeye aliendelea kupiga dili la dhahabu na gasi achilia mbali ecowas,richmond na ule mkataba uliotupiliwa mbali wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
 
Hiyo 16 bila magufuri isingepatikana,mkwere yeye aliendelea kupiga dili la dhahabu na gasi achilia mbali ecowas,richmond na ule mkataba uliotupiliwa mbali wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
Hata mimi nimemshangaa sana jamaa eti 16% ilipatikana kwa juhudi za Kikwete! Ila sema wananchi wengi si watu wa kufatilia mambo! Kikwete alikuwa kilaza hata kwenye gesi aliingia mikataba ya kisenge isiyo na manufaa kwa wananchi Ikiwa ni pamoja na kugharimu roho za wananchi wa Mtwara!
 
Hiyo 16 bila magufuri isingepatikana,mkwere yeye aliendelea kupiga dili la dhahabu na gasi achilia mbali ecowas,richmond na ule mkataba uliotupiliwa mbali wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
16% mrabaha ipo kwenye katiba kabla magufuli hajaota kuwa rais, fuatilia mambo,halafu ECOWAS ndiyo nini!?..Kama unamaanisha escrow ile si pesa ya serikali ndiyo maana maaskofu wako waliila na benki yako takatifu ilitumika
 
Mkwere ndio mpiga dili wengine wakasome[emoji28]
 
Huenda hatafika 25
 
vikongwe wanaendelea kuteuliwa
 
Vijana bado wanabalehe ya madaraka, wakipewa nafasi wanazitumia kujipatia wanawake kinguvu na kuumiza wengine. Bado wazee waliotulia kiakili wanahitajika sana.
Maneno ya kipuuzi tu,hao wazee hawana maajabu tena! Kijana akikosea mmoja wasihukumiwe vijana wote wapo wana uwezo mzuri na wanaendelea kujifunza kila kukicha! Hao wazee ubunifu zero ni mambo ya unafiki na kujipendekeza tu!
 
16% mrabaha ipo kwenye katiba kabla magufuli hajaota kuwa rais, fuatilia mambo,halafu ECOWAS ndiyo nini!?..Kama unamaanisha escrow ile si pesa ya serikali ndiyo maana maaskofu wako waliila na benki yako takatifu ilitumika
wewe acha maneno mengi yasiyo na tija 16% ni juhudi za JPM kama ilikuwepo kwenye katiba ilitusaidia nini na Kikwete na Mkapa mbona hawakuisimamia? Kwa hiyo kuitekeleza walimsubiria Magufuli awe Rais! Kikwete ni kiongozi wa hovyo na fisadi na haitakaa ibadilike! Juzi alitaka kufisadi Tanga Cement kwa kutumia Chalinze Cement wabunge wakamsitukia!
 
Aisee, nikikumbuka vituko vya Gambo, Mnyeti, Makonda, sabaya....yaani umenipiga nyundo takatifu mpaka nimekoma😂
Wale ni viongozi wazuri ila malimbukeni wa uongozi pia lilichangiwa na propaganda nyingi sana za kisiasa!
Lakini hilo haliwafanyi viongozi vijana kuwatosa na kukumbatia wazee wenye mawazo ya miaka ya 80 huko! Mfano Nehemia Mchechu ameanza kuwa mkurugenzi kwenye umri wa 30+ na bado anaendelea licha ya makandokando ya hapa na pale!
 
Huwezi kuelewa kama you are an outsider.
Nyie CCM mnatakiwa msikilize clip ya ATIKU ABUBAKAR former president of Nigeria [ Current ECOWAS emissary to NIGER] alivyoainisha sababu za nchi za kiafrica kupinduliwa na majeshi!! Inaelekea kwa analysis aliyofanya nyie CCm mnaipeleka Tanzania huko huko!!
 
Masorro amedumu kwa miezi 7 na 27 ofisini.

Soon tutapata IGP mpya…ni suala la muda
Nashauri watu waliopo Ikulu ambao wamepewa tu favour ya kuwa pale lakini hawastahili kuwa pale, waondolewe, ili Ikulu ibaki na staff wa Ikulu tu!
 
Kwa rate hii, sensa inayokuja mnamo 2032 tutagonga angalau milioni 75.

Baada ya hapo next stop 2042 angalau milioni 95.

Na hayo ni makadirio ya chini kabisa.
Labda kuna haja kumulika vizuri kule uhamiaji pia? The growth rate is alarming, ukizingatia kuwa hata Mungu naye anao mkono wake kwenye balance hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…