Huna unalolijua kaa kimya! Hujui ukaribu wa mkwere na Othman na huyo aliyeteuliwa na kachero mstaaufu Othman!Hoja yako ni nini ?!!!
Chalinze na Tanga wapi na wapi ?!!!
Ninyi ndio wale wafia dini ?!!![emoji15][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unalolijua kaa kimya! Hujui ukaribu wa mkwere na Othman na huyo aliyeteuliwa na kachero mstaaufu Othman!Hoja yako ni nini ?!!!
Chalinze na Tanga wapi na wapi ?!!!
Ninyi ndio wale wafia dini ?!!![emoji15][emoji1787]
Huwezi kuelewa kama you are an outsider.Kwa Chama kwanza Tanzania baadae sana.
Sidhani kama alikuwa mtendaji mmbovu. Inaweza ikawa hisia au maneno tu.Huyu Mzee ni Jasusi wa TISS, alopelekwa na Mzee wa Msoga kule Rwanda .
Utendaji wake mbovu ,ndio ulipelekea kudhorota Kwa uhusiano wa Rwanda na Tanzania, kiasi Cha Marais wawili kutupiana Vijembe.
Itoshe tu kusema, DPW wameamua na Rwanda Imeamua !!.
Na anamiliki sheli mpya nyingi njia ya mby-dsmHiki ndio anaweza, kuteu au kutengua. Roho yake inakuwa safi mnooo. Lakini yale mambo magumu na muhimu kwa watanganyika.
Kwa mfano sasa imekuwa haki yao wamiliki wa petrol Station kuficha mafuta na kusubilia kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi bei ipande ndio wauze, huko hapana kabisa gusa
1. Mkuu wa EWURA ni mume wa spika
2. Waziri wa nishati ni mtoto wa kada mwandamizi.
Gas ya mtwara tunamiliki kwa zaidi ya 25%,gas ya Lindi ndiyo tupo mazungumzoni,dhahabu mkwere alitumia diplomasia tukaongeza mrabaha mpaka 16% toka 3% ya mzee mkapa,ukitaka ufaidi rasilimali Kama hizo ni serikali kuweka hela kwenye utafiti na uchimbaji,tunazo hizo hela!?
Au ndie yeye mwenyewe aliamua kushea na wazalendo wenzake wa kitanganyika?Massoro ameshindwa kumtia nguvuni yule Raia mzalendo namba 1 kwa sasa aliyevujisha mkataba wa DP World
Hata mimi nimemshangaa sana jamaa eti 16% ilipatikana kwa juhudi za Kikwete! Ila sema wananchi wengi si watu wa kufatilia mambo! Kikwete alikuwa kilaza hata kwenye gesi aliingia mikataba ya kisenge isiyo na manufaa kwa wananchi Ikiwa ni pamoja na kugharimu roho za wananchi wa Mtwara!Hiyo 16 bila magufuri isingepatikana,mkwere yeye aliendelea kupiga dili la dhahabu na gasi achilia mbali ecowas,richmond na ule mkataba uliotupiliwa mbali wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
16% mrabaha ipo kwenye katiba kabla magufuli hajaota kuwa rais, fuatilia mambo,halafu ECOWAS ndiyo nini!?..Kama unamaanisha escrow ile si pesa ya serikali ndiyo maana maaskofu wako waliila na benki yako takatifu ilitumikaHiyo 16 bila magufuri isingepatikana,mkwere yeye aliendelea kupiga dili la dhahabu na gasi achilia mbali ecowas,richmond na ule mkataba uliotupiliwa mbali wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
Hata mimi nimemshangaa sana jamaa eti 16% ilipatikana kwa juhudi za Kikwete! Ila sema wananchi wengi si watu wa kufatilia mambo! Kikwete alikuwa kilaza hata kwenye gesi aliingia mikataba ya kisenge isiyo na manufaa kwa wananchi Ikiwa ni pamoja na kugharimu roho za wananchi wa Mtwara!
Huenda hatafika 25Alichelewa kumu approve na haikuwa bahati mbaya ukichukulia tayari kulikuwa na tension ya nchi hizi. Huyu mzee lazima atakuwa alishastaafu na hii kurudi itakuwa kazi maalum kurudisha heshima hasa kwa experience yake maana ameishi generation zote. Hisia zangu lakini ...
vikongwe wanaendelea kuteuliwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
View attachment 2731582
View attachment 2731584
vikongwe wanaendelea kuteuliwa
Maneno ya kipuuzi tu,hao wazee hawana maajabu tena! Kijana akikosea mmoja wasihukumiwe vijana wote wapo wana uwezo mzuri na wanaendelea kujifunza kila kukicha! Hao wazee ubunifu zero ni mambo ya unafiki na kujipendekeza tu!Vijana bado wanabalehe ya madaraka, wakipewa nafasi wanazitumia kujipatia wanawake kinguvu na kuumiza wengine. Bado wazee waliotulia kiakili wanahitajika sana.
wewe acha maneno mengi yasiyo na tija 16% ni juhudi za JPM kama ilikuwepo kwenye katiba ilitusaidia nini na Kikwete na Mkapa mbona hawakuisimamia? Kwa hiyo kuitekeleza walimsubiria Magufuli awe Rais! Kikwete ni kiongozi wa hovyo na fisadi na haitakaa ibadilike! Juzi alitaka kufisadi Tanga Cement kwa kutumia Chalinze Cement wabunge wakamsitukia!16% mrabaha ipo kwenye katiba kabla magufuli hajaota kuwa rais, fuatilia mambo,halafu ECOWAS ndiyo nini!?..Kama unamaanisha escrow ile si pesa ya serikali ndiyo maana maaskofu wako waliila na benki yako takatifu ilitumika
Uso wa kazi, ikulu sio sehemu ya kucheka cheka 😠😠😠View attachment 2731591
Huyu mwamba mbona anaonekana anamakasiriko. Shida nini?
Wale ni viongozi wazuri ila malimbukeni wa uongozi pia lilichangiwa na propaganda nyingi sana za kisiasa!Aisee, nikikumbuka vituko vya Gambo, Mnyeti, Makonda, sabaya....yaani umenipiga nyundo takatifu mpaka nimekoma😂
Nyie CCM mnatakiwa msikilize clip ya ATIKU ABUBAKAR former president of Nigeria [ Current ECOWAS emissary to NIGER] alivyoainisha sababu za nchi za kiafrica kupinduliwa na majeshi!! Inaelekea kwa analysis aliyofanya nyie CCm mnaipeleka Tanzania huko huko!!Huwezi kuelewa kama you are an outsider.
Nashauri watu waliopo Ikulu ambao wamepewa tu favour ya kuwa pale lakini hawastahili kuwa pale, waondolewe, ili Ikulu ibaki na staff wa Ikulu tu!Masorro amedumu kwa miezi 7 na 27 ofisini.
Soon tutapata IGP mpya…ni suala la muda
Wapo ila kuna wakati Mungu aliwaacha; possibly ameshawarudia tena sasa kwa ajili ya msaada mwingineKwa sababu ya Mungu/Mother Nature.
Ukraine sasa kuna vita. Kwani hakuna watu wa usalama?
Labda kuna haja kumulika vizuri kule uhamiaji pia? The growth rate is alarming, ukizingatia kuwa hata Mungu naye anao mkono wake kwenye balance hiyoKwa rate hii, sensa inayokuja mnamo 2032 tutagonga angalau milioni 75.
Baada ya hapo next stop 2042 angalau milioni 95.
Na hayo ni makadirio ya chini kabisa.