Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Tanzania mbona kila mtu ni kachero mbobezi? Ubobezi wao uko kwenye maneno tu na siyo vitendo?

Nchi inaenda kombo hii.

Anyways, huyu kwa sura anaonekana ni mtu mwenye busara. Narudia tena kwa sura na mwonekano. Sijajua kichwani.
 
.... perfected "windsor knot"
 
Hizi kama porojo tu
 
Tanzania mbona kila mtu ni kachero mbobezi? Ubobezi wao uko kwenye maneno tu na siyo vitendo? Nchi inaenda kombo hii. Anyways, huyu kwa sura anaonekana ni mtu mwenye busara. Narudia tena kwa sura na mwonekano. Sijajua kichwani.
Kuna tatizo kubwa la katiba ndio maana unaona hizi reshuffle nyingine. Kenya nafasi kama hii ni mpaka bunge likupitishe kupitia open interview na raisi wa kenya anapelekewa majina halafu analiachia bunge lifanye due diligence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…