inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hayawezi kuwa maamuzi yasiyo na ground..hofu haikosekan,nadhani alikua mzee sefueNchi yoyote inao uwezo wa kumkataa balozi au mwanadiplomasia. Au akiwepo ubalozini inaweza kumfanya persona non grata au ikampa masaa kadhaa awe ameondoka.
Huyo jamaa atasema ni woga wakati sio
Unaishi kwa amani na kunya sababu ya watu wa usalamaTanzania mbona kila mtu ni kachero mbobezi? Ubobezi wao uko kwenye maneno tu na siyo vitendo?
Nchi inaenda kombo hii.
Anyways, huyu kwa sura anaonekana ni mtu mwenye busara. Narudia tena kwa sura na mwonekano. Sijajua kichwani.
Kwa sababu ya Mungu/Mother Nature.Unaishi kwa amani na kunya sababu ya watu wa usalama
Sio kwa chini ya mwaka. Wakati huohuo intelligence services hazipendi kuwa na wastaafu wengi na watu wengi wanaotemwa nje. Zinapenda retention zaidi, ni gharama kulinda siri na kadri wanavyokuwa nazo wengi ndio risk inakuwa kubwa.Intelligence services do not like their officers to remain in one place indefinitely lest they become too comfortable, in the same way agent runners are ROTATED ,to ensure that they do not lose objectivity or end up too heavily invested in one case or a single spy,....Mwisho wa kunukuu
Hahaha ni marahisi ukiwa nje. Wenye taaluma zao huko wanatuchora tu hapa.Hivi mnachukuliaje haya mambo, mnadhani rahisi ?!
Ungejua, kibongo pongo item za vetting zinashida Sana miaka hii, wanaangalia zaidi uraia na Usiwe upinzani hasa cdm , only that.Wapambe wa neno "vetting" siwaoni sana siku hizi
Ndio hizi mambo tunahoji? TISS Sio ofisi ya DC MasasiSio kwa chini ya mwaka. Wakati huohuo intelligence services hazipendi kuwa na wastaafu wengi na watu wengi wanaotemwa nje. Zinapenda retention zaidi, ni gharama kulinda siri na kadri wanavyokuwa nazo wengi ndio risk inakuwa kubwa...
Na bado wanavuruganaKuna tatizo kubwa la katiba ndio maana unaona hizi reshuffle nyingine. Kenya nafasi kama hii ni mpaka bunge likupitishe kupitia open interview na raisi wa kenya anapelekewa majina halafu analiachia bunge lifanye due diligence.
Hongera our new DGTISS 😅😅Kuvuja kwa pakacha....
Pole sanaNa kujaza kote waislamu wenzie bado hawaamini tu?
Balozi hana umuhimu sana kwenye ujasusi pale embassy, hana umuhimu kuliko attaché wa intelligence services. Vilevile Balozi hana umuhimu kuliko military attaché kwenye mambo ya kijeshi pale ubalozini.Hayawezi kuwa maamuzi yasiyo na ground..hofu haikosekan,nadhani alikua mzee sefue
ni sawa, na ni vizuri. ila shida ni kuwa hatuna Bunge.Hawa watu wawe wanathibitishwa na Bunge
Na hoover alikuwa hapendwi na marais karibia wote waliokuwa mabosi zake . Maana alikuwa anajua dili chafu chafu za hao marais ndio maana inadaiwa alikuwa haguswi kwa kutumbuliwa.Sio kwa chini ya mwaka. Wakati huohuo intelligence services hazipendi kuwa na wastaafu wengi na watu wengi wanaotemwa nje. Zinapenda retention zaidi, ni gharama kulinda siri na kadri wanavyokuwa nazo wengi ndio risk inakuwa kubwa...
Wameonesha udhaifu mkubwa. Naipongeza serikali kwa kuona hilo na kuchukua hatua mapema.Watu watengeneze mfumo kula hela, watu wasione hatari mkataba wa bandari, watu wasione hatari mijadala ya udini kwenye mambo ya kitaifa, watu wasigundue kujipenyeza kwa washindani kwenye mijadala ya ndani, nk nk nk. Bado ubaki na mkurugenzi!?
Usiwe na shaka. Kagame mwenyewe ni zao la system yetu.Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.
Kuhusu uwezekano wa DPWD KUWA NYUMA YA HUU UTEUZI
"Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani"
Huyu DG Mpya Amefanya kazi na kujamiiana na hawa jamaa wawili wenye kiu na Rasilimali zetu Dubai na Kigali. Je, alikuwa smart kiasi cha sasa kuwakwepa? Au wanajua na wamemtuma kazi ?
Zile ndio nchi zenye mifumo. Mkurugenzi anateuliwa na Rais na anapitishwa na Bunge, Senator yeyote anaweza weka pingamizi na evidence juu ya uhalali, uaminifu, elimu, uwezo, uzalendo wa huyo mtu na akakataliwa. Hivyo Rais anaumiza kichwa kuteua sio kuchagua machawa. Mpaka sasa Joint Chiefs of Staff wa Marekani hawajatimia sababu kuna pingamizi.Na hoover alikuwa hapendwi na marais karibia wote waliokuwa mabosi zake . Maana alikuwa anajua dili chafu chafu za hao marais ndio maana inadaiwa alikuwa haguswi kwa kutumbuliwa.
Unafahamu mahusiano kati ya foreign affairs, Ujasusi na ukachero ?kwan TISS inahusiana na maswala ya ndan au nje ? kipi kinakufanya uwaone walioish nje wanafaa kwenye TISS kulio walioishi ndan ?
Bunge gani wazungumzia mkuu?Hawa watu wawe wanathibitishwa na Bunge