Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Hicho chama ndiyo kinabeba mustakabali mwema wa Tanzania ndiyo maana wanaenda nacho
Dhahabu,Gas na sasa Bandari tungekuwa na mikataba bora hizo tozo za kijinga zusingekuwepo.

CCM ndio wameifikisha nchi njia panda,tuna dhahabu lakini si mali yetu.Tuna Gas lakini si yetu.Tuna Bandari soon hatutakuwa kuwa na tofauti na nchi kama Rwanda au Burundi.

CCM ni laana na janga la taifa.
 
Gas ya mtwara tunamiliki kwa zaidi ya 25%,gas ya Lindi ndiyo tupo mazungumzoni,dhahabu mkwere alitumia diplomasia tukaongeza mrabaha mpaka 16% toka 3% ya mzee mkapa,ukitaka ufaidi rasilimali Kama hizo ni serikali kuweka hela kwenye utafiti na uchimbaji,tunazo hizo hela!?
 
Huyu Rais ni wa mpito haiwezekani afanye upuuzi kiasi hiki, kijeuri na kwa kasi ya namna hii na mwenye kuua amani ya Nchi iliodumu miaka yote hii
 
Back
Top Bottom