Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kastaafu ubalozi tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kastaafu ubalozi tayari?
Samia niteue na miyeRAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, alisema Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa naye, amewateua wajumbe sita wa bodi hiyo.
Aliwataja wajumbe hao niJacqueline Woiso, ambaye ni Mkurugenzi wa Multichoice Tanzania, Tindi Mndolwa Mkuu wa Itifaki, kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kitengo cha Diplomasia
na Said Kamugisha, ambaye ni Mtaalamu wa Masuala ya uhamiaji naMwanasheria.
Wajumbe wengine ni Omar Mohammed, ambaye ni Mkurugenzi wa Utaratibu na Usimamizi wa Utalii, kutoka Tume ya Utalii Zanzibar na Mdau wa Utalii Zanzibar, Mozza Salim Mauly ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Utali, inayojulikana kama Mauly Tours and Safari na Mdau wa Utalii Bara pamoja na Dk. Tereza Mugobi, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii na Mtaalamu wa Utalii.
Pia, alisema Damas Mfugale atakuwa Katibu wa Bodi hiyo ya Utalii, atakuwa na jukumu kubwa la kuwasimamia
wajumbe hao, kutekeleza majukumu yao ya kikazi.
Wakati huohuo, Waziri Mchengerwa alimthibitisha Dk. Tereza Mugobi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii nchini, awali alikuwa anakaimu nafasi hiyo.
Waziri Mchengerwa ameteua wajumbe hao, kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Bodi ya Utalii, Sura ya 364 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha Sheria ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali namba 4 ya mwaka 2019. Pia, alisema mchakato wa kuwapata wajumbe hao umefanywa ndani ya miaka mitatu.
Bila picha wewe ni muongo🤣Skudu Makudubela amelia sana baada ya kuona mkataba wa Bandari
Kwanini ?Zitto Kabwe atafurahia huu uteuzi
Rafiki yakeKwanini ?
Yule ni mdini kuanzia kwenyi viatu hadi kwenye kofia, ndo maana chama chake kipo kama boti kinazunguka kwenye baharini na maziwani tuKwanini ?
Mafisadi yote yapo kwenye keki ya taifakila siku dau dau dau watu wanapeana ulaji tu
Jamaa wamejipanga vizuri kuitafuna nchiHivi hakuna watu wengine kuongoz hizo board? Mbona ni wale wale waliostaafu?
Jamaa wote warudiSerikali hii inaongozwa na KIKWETE wale wote kwenye utawala wake ndio hao , DPWORLD ni KIKWETE na ROSTAM
Faiza meno nje sahvi
Acheni chuki za uongo mbona Ali Hassan Mwinyi aliongoza kipindi cha Magufuri kwa nini hamkumsema?Serikali hii inaongozwa na KIKWETE wale wote kwenye utawala wake ndio hao , DPWORLD ni KIKWETE na ROSTAM
Faiza meno nje sahvi
Jf wamfungulie ban aje kutamba humu wakati wake huu
Ova
Nakubali kwa 100%Uongozi uliokataliwa mbinguni na duniani, kawaida huwa unafanya makosa kila unapotaka kufanya jambo!