Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Siamini kama umemsahau ABDALLAH TWALIPO
 
Sorry kweli nawaza if we have such type of people on secret room how Tz will look like 2070.. i think tutakuwa slave. Hii sio karne yakuonge makabila dini au rangi au jinsia ktk maeneo nyeti ya taifa. Dunia imeshatoka huko if ye think kabila, dini au jinsia ndio majibu ya shida zetu na hali yetu kwa sasa P i'm sorry. I think binafsi naogopa sana aina ya mfumo taifa langu unauwendea. Mfumo usio taka challenge, mfumo wa walamba miguu mezani mwa bwana zao mfumo wa mtu mmoja ndio kula yako. Mfumo huu hauwez kutuacha salama. Tunahitaji system imara na watu walio na uwezo wajuu from brain to physical yani tunataka mfumo kama wa mataifa yenye nguvu. Mkuu wa majeshi ya UK anawaambia wanajeshi wake kaeni tayari kwa vita hii sio jambo dogo yani mifumo yao yakiusalama ipo vizuri. Taifa hili na aina ya watu ambao tuna take eazy mambo siku moja tutachekea chooni. Yes we know mataifa jirani wanavyomezea kila kitu cha taifa ila and we know kutokana na uchama na mambo ya siasa tumelala usingiz wa pono... God have a Mercy on Us Tanzanian.
 

Baada ya Nyerere kupinduliwa na jeshi mwaka 1964, alipandisha vyeo watu waliomsapoti na kati ya hao waliomsapoti kulikuwa na wakabila. Mfano mzuri ni Musuguri alikuwa anashutumiwa kuwapendelea watu wa kanda ya ziwa.
 
So she chose last one in the group 🤔🤔
 
29 June 2022

Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
 
Sirro nae ajiandae. Soon moshi mweupe utatoka. Kwanza Sirro alishastaafu long time sema Magufuli akaamua tu kuendelea nae.
Umri wa kustaafu sirro bado Sana, muwe mnafatilia
Sirro ndio kwanza ana miaka 58
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…