Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
kimasihara kimaramba teuziChumaa kipyaaa...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimasihara kimaramba teuziChumaa kipyaaa...!!
Nakubaliana na wewe mkuu ila sidhani kama kumtoa Lt. Gen M. E. Mkingule na kumpa ubalozi ni njia ya kumtafutia nafasi aliyekuwa Maj. Gen Othman ili kubalance kwasababu yule ni mnzanzibari uzuri wewe kama ulivyojieleza hapo unafahamu utaratibu na miongozo ukifuatilia vizuri utakuja kujua kwanini CoS kapewa ubalozi mkuu wangu PUteuzi mzuri wenye dalili za kuijibu hii hoja, Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? Tangu kuanzishwa kwake JWTZ mwaka 1964, baada ya Luteni Generali mmoja tuu mwenye jina la Abdalah, ambaye alikuja kuwa CDF, leo ndio Luteni Generali wa mwingine mwenye jina la Salumu ameteuliwa, akiwa ndie Mzanzibari wa kwanza kufikia cheo hicho, na hivyo kuweka a possibility ya Tanzania kuja kupata CDF kutoka upande wa pili wa Muungano in future.
NB. Naomba kuweka caveats ya kutuhumiwa mbaguzi, makabila na mdini, amini usiamini my concern were bonafide genuine kuuliza mbona ma CDF wote ni kutoka upande mmoja na dini moja?. Unaweza kukuta no one noticed anything mpaka baada ya concern, ndio watu wakajiuliza, hivyo ikabidi kaji affirmative action kafanyike kumuondoa Luteni Generali aliyefuata kwenye normal progression ya kuja kuwa CDF, ili to create a room ya mtu wa kwanza wa upande wa pili naye aweze kuwa Luteni Generali!. Na kwa faida ya wanajukwa hili Pasco Mayalla kabla ya kuwa mtangazaji wa RTD, alipitia JKT Makotupora na MMJKT, kisha akajiunga straight na JWTZ Airwing na kuajiriwa with MT. Number, na sasa ni askari wa akiba, ikitangazwa vita sisi ndio tunatangulizwa mbele ili tuwe chambo.
P
Who is this guy? Kawaruka Lt. Gens wawili au more kampandishwa kutoka Maj. Gen kuwa Full Gen?
Yaani kutoka two stars Gen kuwa four stars Gen?
Kama alivyomrusha Hamduni
I know VETTING MATTERS but NGOJA tufuatilie CV yake VS ALIOWARUKA
======+
I'll come back for more
View attachment 2276717
Safi sana lijamaa limejaa kiume kabisa yaani unaona kabisa hili ni CDF kakamavu, emoji ya msuli. Hongera Mheshimiwa Rais kutupatia jembe jingine.Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (Chief of Defence Forces – CDF).
Kabla ya Uteuzi huo, Mkunda alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi (Chief of Operations and Training).
Rais Samia pia amempandisha Cheo Meja Jenerali Salum Haji Othman kuwa Luteni Jenerali na amemteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff – C of S).
Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Othman alikuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini (Commissioner for Research and Military Development) katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Vile vile amemteua Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Uapisho utafanyika tarehe 30/06/2022 saa saba mchana Ikulu, jijini Dar es Salaam.
View attachment 2276626
View attachment 2276683
Picha: Meja Jenerali Jacob John Mkunda
I Know boy kama, Said MwemaUkirukwa huwezi kubakizwa; utasukumwa kwenda kwenye ubalozi.
Nakubaliana na wewe mkuu ila sidhani kama kumtoa Lt. Gen M. E. Mkingule na kumpa ubalozi ni njia ya kumtafutia nafasi aliyekuwa Maj. Gen Othman ili kubalance kwasababu yule ni mnzanzibari uzuri wewe kama ulivyojieleza hapo unafahamu utaratibu na miongozo ukifuatilia vizuri utakuja kujua kwanini CoS kapewa ubalozi mkuu wangu P
Au Mangu kupelekwa ubaloziniI Know boy kama, Said Mwema
Kwami si alipekekwa akateuliwa Siro au hujuo au umeamua kujisahaulisha?Au Mangu kupelekwa ubalozini
Yule ni Laurent NkundaAna undugu na loraa mkunda?
Hoja nzito sana.... Uko sahihi mkuuSorry kweli nawaza if we have such type of people on secret room how Tz will look like 2070.. i think tutakuwa slave. Hii sio karne yakuonge makabila dini au rangi au jinsia ktk maeneo nyeti ya taifa. Dunia imeshatoka huko if ye think kabila, dini au jinsia ndio majibu ya shida zetu na hali yetu kwa sasa P i'm sorry. I think binafsi naogopa sana aina ya mfumo taifa langu unauwendea. Mfumo usio taka challenge, mfumo wa walamba miguu mezani mwa bwana zao mfumo wa mtu mmoja ndio kula yako. Mfumo huu hauwez kutuacha salama. Tunahitaji system imara na watu walio na uwezo wajuu from brain to physical yani tunataka mfumo kama wa mataifa yenye nguvu. Mkuu wa majeshi ya UK anawaambia wanajeshi wake kaeni tayari kwa vita hii sio jambo dogo yani mifumo yao yakiusalama ipo vizuri. Taifa hili na aina ya watu ambao tuna take eazy mambo siku moja tutachekea chooni. Yes we know mataifa jirani wanavyomezea kila kitu cha taifa ila and we know kutokana na uchama na mambo ya siasa tumelala usingiz wa pono... God have a Mercy on Us Tanzanian.
Huyu Generali ni Kabila gani ?Taarifa inaeleza kwamba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, ili kuziba pengo lililoachwa na na Venance Mabeyo anayestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Kwangu mimi General Mkunda ni jina jipya kabisa, Naomba mwenye kuufahamu wasifu wa kiongozi huyu atuwekee hapa tumfahamu, japo kwa ufupi tu ili tusiingie ndani sana kwenye mambo ya Kijeshi.
Natanguliza shukrani
JWTZ mtu yeyote akifika cheo cha Brigadier General ujue ni jembe; usiulize uwezo wake. Ni Shimbo tu aliyetaka kulifanya Jeshi kama chombo cha siasa lakini pia hakufanikiwa.Taarifa inaeleza kwamba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, ili kuziba pengo lililoachwa na na Venance Mabeyo anayestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Kwangu mimi General Mkunda ni jina jipya kabisa, Naomba mwenye kuufahamu wasifu wa kiongozi huyu atuwekee hapa tumfahamu, japo kwa ufupi tu ili tusiingie ndani sana kwenye mambo ya Kijeshi.
Natanguliza shukrani
Wale maluteni jenerelai waliorukwa wana umri mkubwa wanakaribia kustaafu. Nadhani wote watastaafu ndani ya mwaka mmoja au miwili tu. Anatakiwa CDF adumu angalu miaka mitano kabla ya kufikia umri wa kustaafu, kwa hiyo ilikuwa ni lazima kutafuta damu changa.Who is this guy? Kawaruka Lt. Gens wawili au more kampandishwa kutoka Maj. Gen kuwa Full Gen?
Yaani kutoka two stars Gen kuwa four stars Gen?
Kama alivyomrusha Hamduni
I know VETTING MATTERS but NGOJA tufuatilie CV yake VS ALIOWARUKA
======+
I'll come back for more
View attachment 2276717
Tek easy! nothing is permanent.Sirro nae ajiandae. Soon moshi mweupe utatoka. Kwanza Sirro alishastaafu long time sema Magufuli akaamua tu kuendelea nae.
Huyu inasenekana alisoma MzumbeClass moja na mshua sekondari. Huwa wanawasiliana sana.
Soon nakula uteuz. Lazma apeleke nomino wa maza.
🤣🤣🤣🤣🤣we jamaaAna undugu na loraa mkunda?