Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hongera kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loraa (Laurent) ni Nkunda siyo MkundaAna undugu na loraa mkunda?
Inawezekana uwezo wa mteuzi hauna nguvu kama tunavyofikiri huku mitaani...sijaelewa mantiki ya kuteua CoS halafu asifikishe hata mwaka anateuliwa mwingine.
..kwanini hakumuacha CoS Yakubu Mohammed astaafu wakati mmoja na Cdf Mabeyo?
..Hiyo ingemuwezesha kuteua Cdf na CoS kwa wakati mmoja kama ilivyofanyika wakati wa Kiaro na Kiwelu, au Mboma na Sayore.
Cc Kichuguu
Kwani ilianza na watu wa wapi?Nyie watu ni wapumbavu sana. Tanzania ingeanaza na nyie, ingekuwa nchi ya kikabila siku nyingi.
This around Wagogo/wakaguru wamemumbukwa na si kanda ileNi msukuma kutoka kanda pendwa..ni hayo tu
Tuliwaambia walikuwa wanachomea watu utambi tu, lakini hawakusikia!Watabiri kuleeee
Ni vipimo vipi utaviangalia katika utendaji huo mkuu 'Joka Kuu'...sina tatizo lolote na walioteuliwa, nasubiri utendaji wao.
26 February 2020
Operesheni safisha Katumba 2020
View attachment 2277007
Akitowa taarifa ya operesheni hiyo inayojulikana kwa jina la Operesheni safisha Katumba 2020 mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera ,Mkuu wa Brigedi ya Magharibi, Brigedia Jenerali Jacob Mkunda alisema kuwa katika operesheni hiyo walikamata bunduki 50.
Alifafanua kuwa katika bunduki hizo walizofanikiwa kuzikamata ni bunduki za kivita 13 aina ya SMG , Bunduki tatu aina ya G3, Raifo moja na Gobole 33.
Aidha wamekamata risasi 28 na mitego ya kukamatia wanyama 13
Brigedia Generali Mkunda alieleza kuwa katika msako huo wameweza kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 17 ambao na Raia wapya wa Tanzania wenye asili ya nchi ya Burundi katika ya watuhumiwa hao wanne wamekamatwa katika Makazi ya Wakimbizi ya Katumba Wilaya ya Mpanda na 14 wamekamatwa katika Makazi ya Wakimbizi ya Mishamo Wilaya ya Tanganyika
Alisema kuwa kwenye msako huu wameweza kubaini uwepo wa viwanda vya kutengeneza bunduki aina ya gobole kwenye makazi ya wakimbizi ya Mishamo ambazo zimekuwa zikitumika katika kufanyia ujangili wa kuua wanyama kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kwenye mapori ya akiba .
Kamanda wa operesheni ya safisha Katumba 2020; kanali Evance Mallasa akionyesha moja ya silaha zilizokamtwa
![]()
Mzigo wa silaha zilizokamatwa katika makazi ya mishamo na katumba wanapoishi raia wapya wa Tanzania wenye asili ya Burundi
Source : michuzi jr
Hii imekaaje.[emoji837] BREAKING NEWS
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha Cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda Kuwa Jenerali na amemteua Kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi-CDF
[emoji406]-IKULU
Niliposoma ulichoandika hapa nilikuwa bado sijaangalia jina.Taifa langu Tanzania amka. Naona mabadiliko ya dunia ubadilike nje ya hapo ipo siku wana wako watakuwa watumwa ktk taifa lao. Nakataa nafasi za ukanda, nakataa nafasi zakuangalia jinsia, nakataa teuzi na nafasi zina angalia watu wa ndio mzee. This is a nation and it must follow principal of being a nation or we will be a region among nations. Why? Because of our political ambitions u ccm na uchadema.
Hii imekaaje.
Kumpandisha mtu cheo na kumpa ukuu wa Kitengo! Ina maana hakuwepo mwenye nafasi ya kupewa hiyo cheo.
Asante Mabeyo.
May be waliopo wana some flaws.Hii imekaaje.
Kumpandisha mtu cheo na kumpa ukuu wa Kitengo! Ina maana hakuwepo mwenye nafasi ya kupewa hiyo cheo.
Asante Mabeyo.
Jamaa ni komandoo auTawi la SPECIAL FORCES naona tumekumbukwa.