Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

Mjema alipwaya sana

Sophia hana convicing Power yoyote

Hiyo nafasi za uenezi walizitendea haki akina Nape na Polepole

Humprey Polepole tatizo lake alilewa sifa na kujiona yeye ndio yeye mbele ya bosi wake

Hiyo ni kazi ya propaganda na mikakati

Waangalie wale wasemaji wa Yanga na Simba wanavyopiga domo na vijembe ndio kazi za uenezi kupiga domo na kujibu mashambulizi ya wapinzani

Chadema wamepeleka moto operation 255 kanda ya ziwa yeye hajaongea lolote anasubiri wabunge watoke mafichoni kwenye majimbo yao na kuanza kulia lia wapate huruma ya wananchi

Sophia alipwaya sana sana
 
Afadhali!, sasa bado mmoja KM!. Nadhani Rais Samia ni msikikivu sana!.
Sijui kama Katibu ajaye wa uenezi, ataendeleza mazuri ya Sofia kama mpango mkakati huu
View: https://youtu.be/YcaZuXTEgec?si=9JM3FoQx_IvvM4qLP
 
Watanzania mnavyojua kukosoa wenzenu hamjambo! Hapo ukute kuandika hata page moja kiingereza hujui!
 
haya zuhura chapa barua nyingine chap ya kumteua makonda hiyo nafasi aliyoacha mjema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…