Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

Hizo ni sifa za Sa100 pia siyo Sophia tu. Mwenyekiti ni hovyo hata upige propaganda hadi mbinguni utaambulia zero tu.
 
Alipwaya huyu dada na ni kilaza kweli.Siasa haiwezi.Sasa Makonda anakuja.Chadema mlipoa sasa amkeni.Jabali la siasa linarudi mzigoni. Ila nchi hii bila sisi mababa zenu ,sisi wasukuma nchi haiendi.Ngosha in.....
Vipi akiamua kumuweka Chalamila? Sio dizaini ya akina Nape huyu? Hapa shime ni kukwepa sukuma gang kwa hali yoyote ile.

Pia usisahau, Makonda akishika usukani, huwa hana urafiki na msoga clan, mama na msoga clan ni damu damu. Unadhani anaweza ku-overlook hilo?
 
Anajua nini kuhusu wanawake wa Tanzania,anajua nini kuhusu MAKUNDI maalum,yaan teuz zingine ni kichefuchefu tu
 
Heeeee, au kile kinachosemwa ni kwelii?? Kuna mwamba au miamba miwili ni kama ilisahaulika na inarudishwa rasmi ulingoni.
 
Tunawaletea makonda sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…