Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

Huwezi kuwa na convince power kama serikali iliyopo ni hohe hahe kama ya huyu mama ,utawezaje kuitetea
 
Nikuambie kitu kabla ya uchaguzi wa ndani CCM 2015.Makonda alikuwa team Membe damu damu .Alikuwa clan ya Msonga deep kabisa.Sema Magufuli aliposhinda CCM Makonda ikabidi alale mbele na Magufuli. Ndo Siasa.Kufuata upepo.
 
Nikuambie kitu kabla ya uchaguzi wa ndani CCM 2015.Makonda alikuwa team Membe damu damu .Alikuwa clan ya Msonga deep kabisa.Sema Magufuli aliposhinda CCM Makonda ikabidi alale mbele na Magufuli. Ndo Siasa.Kufuata upepo.
Inawezekana ILA damage aliyoifanya baada ya kushika madaraka ILIDHIHIRISHA kuwa yeye ni mfuata fursa, kama aliweza kufunga gidamu za viatu vya Ridhi na kisha kuwageuka vile, ni wazi kuwa ANAFAA kuwa chaguo la KIONGOZI yeyote akiwa madarakani kwakuwa ni KINYONGA mahiri kuwahi kutokea.

Zaidi, nitajie mwanachama yeyote wa KIJANI asiyekuwa KINYONGA dizaini ya Makonda?
 
Hii nafasi Nape ilimfaa mno mno japo ana makandokando ila kwenye ukwl usemekane.....Mzee wa BAO la mkono
 
Helium ni mwepesiiiiii sana yule ila naamini taifa halitarudi huku kosa lililofanyika 2015 halitarudiwa tena
CCM ya Magufuli ndio ilikuwa org Maana kabla ya Magufuli mavazi ya CCM yalionekana taka taka mtaani, mpaka CCM wenyewe waliyakimbia walikuwa wanatembea nayo kwenye mikoba wakifika kwenye tukio ndio wanatoa na kuvaa,shughuli ilikuwa ikiisha wanarudisha kwenye mikoba yao, baada ya Magufuli kushika hatamu sare za CCM zikarudi kwenye chat, mpaka watu kwenda kuomba kazi anavaa sare ya ccm,mda si mrefu tunarudi huko kuonekana umevaa sare ya ccm kuitatwa msaliti au kuzomewa, Sasahivi hata mikutano yao watu mpaka wapewe posho ndipo waende, ngoja tuone mpaka 2025 itakuwaje, Maana Kikwete aliisha sema mambo yasipo haribika sana Samia tutakuwa nae ila kwa jicho la mwewe simwoni Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…