Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Kuleta stability na chance ya maendeleo ya kweli jwanza kijani wapumzishwe na muda ni sasa Watanzania tusipotumia hii nafasi muda huu, itachukua tena muda sana
 
Msioifahamu CCM sikilizeni kwa kituo hii clip.

Shida ni hiki chama.
 
Akili za kike bwana yani huyu ni mjinga sana kilicho muuma ni kurudisha kadi hayo mengine ni nyongeza, hajui yeye ndio chanzo sababu ya bandari.
 
Kwa hii shida aliyowasababishia wastaafu inatakiwa yeye mwenyewe ajistaafishe. Hivi kweli mtu anafanya kazi miaka zaidi ya 30 anapewa kiinua mgongo 18m!!
 
Dalili za ushindi kwa wananchi wa Mtwara kupitia kauli mbiu ya chama pendwa - Nguvu ya Umma People's Power

 
Ndo maana inabidi wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.



Au usaili wa wazi.

Nafasi zitangazwe.

Au zifutwe kabisa maana zinaongeza government spending bure wakati productivity haionekani. [emoji2369][emoji2369]
 
Eti alikuwa hakai ofisini kufanya kazi.

Kama ni kweli tumemaelewa Rais.
 
Umewaonea! Watu wanafuata sera........................bandari!
 
DPW inamchanganya maskini ya Mungu
 
Mtwara ni moja ya ngome za CCM imekuwaje tena?AU ni issue ya Bandari Yao,wananchi wamekasirika🤔
 
wizi ah! kuiba sawa......
 
Karibu tunatarajia kufika nchi ya ahadi
Watahama wengi tuuuu
Hujashangazwa. bado
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Sina Imani na mkuu wa Wilaya anayesababisha kadi zirudishwe, Mkuu wa Wilaya Mtwara vijijini, namtimua Leo, siwezi kustahimili kadi zinarudishwa,”amesema Rais Samia.
Kuna kadi zingine hivi karibuni zitarudishwa Kilosa ambako kuna matajiri wamedhurumu ardhi ya wanakijiji kwa kumhonga DC na DED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…