Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Ooh kumbe
Na ukiangalia watu wanaangalia maslahi yao tu
Ila hawajui wao ni udongo tu hata wawe na utajiri gani maana nguvu hawana bali kifo kinawasubiri

Nachukia sana watu wenye tamaa ya mali
Acha uzuzu wa kujifanamisha na mwenye hela. Unatamba kijografia wakati lofa tu!!
Wenzio wa na mkwanja mrefu, wee unambuyangambuyanga afu unataka kujifananisha nao???!!!
 
Ooh kumbe
Na ukiangalia watu wanaangalia maslahi yao tu
Ila hawajui wao ni udongo tu hata wawe na utajiri gani maana nguvu hawana bali kifo kinawasubiri

Nachukia sana watu wenye tamaa ya mali
1. Mungu
2. Oxygen
3. Kazi ya kukupa hela
 
Nchi hii kila siku tuezi halafu mnatarajia ndio mtaendele!
Mfano kwa mkoa was Kilimanjaro, toka 2021 hadi sasa wamekwepo Maafisa Tawala Mkoa (RAS) wanne!
Kwa Hali hii patakuwa na muendelezo katika utekelezaji wa miradi kweli?!
 
Au umuache tu kabisa ijulikane umemtema 😀
 
Utumishi wa umma zifuatwe. Ukimshusha mtu wa level ya PS, mtupe ubalozini!.

P
Paschal
PS ni mkubwa kuliko ofisa yeyote aliye ubalozini, ikiwa ni pamoja na balozi mwenyewe. Mabalozi wetu wote dunia nzima wako chini ya PS wa Wizara ya Mambo ya nje!
 
Maandishi ya kinokonoko namna hii ndiyo yanakufanya mikeka ikupite mbaliiiii😭😭😭😭😭
 
Mara nyingi RC anafanya hivyo ili iingizwe kwenye bajeti. Tangu lini Mtendaji wa Kijiji amekuwa na mamlaka ya kumtia mtu ndani? Ulisema waziri anaweza kumuamrisha RC ambayo sio kweli. Hana mamlaka hayo.

Amandla...
 
Hujui kitu nyamaza! RC ana mkoa, Waziri kikatiba ana nini?
Kinachoongelewa hapa ni chain of command kwenye Organisation Hierarchy, na si maslahi yanayotokana na nafasi ambayo kiongazi anakuwa amekasimishwa mamlaka na umma; kwamba kwenye chain of command, Waziri yuko juu na anaripoti kwa Rais wa nchi moja kwa moja wakati RC yuko chini ya Waziri na anaripoti kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa hali hiyo Waziri ni mkubwa kwa RC.

Hata hivyo tukirudi kwenye upande mwingine wa maslahi ikiwa ni pamoja na autonomy, unaweza ukawa uko sawa. Tuseme kwa mfano, mimi hapa ukiniambia nichague kati ya Uwaziri na Ukuu wa Chuo Kikuu tuseme Mzumbe; uwezekano mkubwa ni kwamba nitachagua Ukuu wa Chuo Kikuu na si Uwaziri, kitendo ambacho kinaendana na idea yako hii ambayo umeiwasilisha hapa
 
Pamoja na haya yote, chain of command inamtaja Waziri kama Senior kwa RC; ukiachana na vurugu zingine hizi za kisheria. Maana yangu ni kwamba ukitaka uchore jedwali la watumishi wa Serikali kulingana na ukubwa wa vyeo vyao, pale juu kabisa tuakuwa na Rais wa Nchi akifuatiwa na wasaidizi wake, na baada ya pale watafuata mawaziri. Baada ya mawaziri ndiyo watafuata wakuu wa mikoa. Wakuu wa mikoa hawawezi kuwa juu ya Mawaziri, bali chini
 
Mara nyingi RC anafanya hivyo ili iingizwe kwenye bajeti. Tangu lini Mtendaji wa Kijiji amekuwa na mamlaka ya kumtia mtu ndani? Ulisema waziri anaweza kumuarisha ambayo sio kweli. Hana mamlaka hayo.

Amandla...
Tatizo la vodafasta kutokusoma katiba na sheria za nchi kuhusu ngazi za utawala. Nenda kijijini halafu ufanye fujo uone nini kitakutokea uje ulete mrejesho!
 
Chain of command ipi? Ungeniambia Katiba inasema nini ndiyo ningekuelewa.

Amandla...
 
CnC ana madaraka ya kufanya chochote hizo kanuni ni mpaka apende kuzifuata sio lazima.
 
Kaji aliiweza sana ile nafasi lakini lile wimbi la 'mabadiriko' likamkumba.Akawekwa huyu naona maji yamezidi unga nae.Tumsubiri na Lyimo pia tuone atasurvive pale kwa muda gani.
Kwenye maswala ambayo si ya vita vya kutumia silaha, mchagga ni mtu wa kwanza jasiri tuliyenaye nchi hii, wengine ndiyo wanafuata. Unless kama hiyo Lyimo ni ya kutoka mkoa mwingine na si Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…