Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Chain of command ipi? Ungeniambia Katiba inasema nini ndiyo ningekuelewa.

Amandla...
Hujasoma management; vinginevyo usingeweza kuuliza sawali la aibu namna hiii. Ni kama mtu anakueleza amejenga nyumba yenye vyumba viatu halafu wewe unauliza swali unasema "vyumba huwa vikoje kwenye nyumba? Nionyeshe nivione huwa vikoje"
 
Achana na mjadala huu, inaonekana kinachojadiiliwa hapa ni ubabaishaji. Ni kama mtu kumiliki bastola halafu akaanza kudai kuwa yeye ni senior kuliko watu wote ambao hawana bastola
 
Hujasoma management; vinginevyo usingeweza kuuliza sawali la aibu namna hiii. Ni kama mtu anakueleza amejenga nyumba yenye vyumba viatu halafu wewe unauliza swali unasema "vyumba huwa vikoje kwenye nyumba? Nionyeshe nivione huwa vikoje"
Management inahusika vipi hapa? Niambieni Katiba inasemaje kuhusu hivi vyeo nitawaelewa. Mimi ninachojua ni kuwa wakati wa " Madaraka Mikoani" vyeo hivi vilifanywa kuwa sawa. Sasa nithibitishieni kuwa palifanyika mabadiliko nitawakubali.

Mfano wako wa nyumba hauna mantik maana mtu akikwambia amejenga nyumba yenye vyumba viatu sitamuelewa. Hata akisema nyumba yenye vyumba vitatu sitamuelewa maana nitataka kujua mchanganuo wa hivyo vyumba. Je ana maanisha ina vyumba vitatu vya kulala bila sebule na jiko. Au ni chumba kimoja cha kulala, kimoja sebule na kingine jiko. Au kila chumba kinajitegemea kama studio apartment. Kwa huu mfano ni dhahiri pengine ulienda shule lakini haukuelimika.

Amandla...
 
RC ana jukumu la kusimamia vyombo vya ulinzi na usalama tu zaidi ya hayo ni mbwembwe. Kama nilivyoeleza RC anafanya kazi chini ya wizara ya TAMISEMI lakini mamlaka yake ya uteuzi na nidhamu ni Rais. Hii haimfanyi kuwa sawa na Waziri.
Hujui katiba wewe! RC anamiliki mkoa Waziri hana kipande cha nchi bwashee
 
Mpo mbumbumbu katika katiba! RC ni mwakilishi wa Rais. Wanaomzidi Cheo katika mkoa wake ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Hao watu anawapisha katika kiti chake! Waziri ni mdogo kwa RC wala hampishi. Ukitaka kujua uliza sakata ya JK na Banduka wakati JK ni Waziri wa Mambo ya nje na Banduka ni RC wa Pwani. Ndipo ilipotafasiriwa. Kinyongo cha JK alipokuwa Rais ndipo alimpiga chini akiwa wa kwanza na wa pili Mangula huko CCM na makosa yake huyu siku ingine.

RC pamoja na kuwa TAMISEMI anaripoti kwa Rais bwashee. Hii ni kama Mkuu wa Majeshi yupo chini ya dogo Bashungwa ila anaripoti kwa Rais moja kwa moja katika masuala nyeti ya Jeshi. Tujifunze Utawala wa nchi tuache kuandika mambo ya vijiweni
 
Neno la hamasa linalotumika na wazulu wa SA. Sikiliza clip hii hapa utalisikia; msikilize mchungaji huyo

Ni Amandla. Sio Amaaaanda. Na ilitumika na African National Congress ( ingawa ni neno la IsiZulu) wakati wakipambana na utawala wa makaburu. Amandla Awethu/Ngawethu maana yake ni nguvu kwa watu weusi. Amandla maana yake ni "Power" na Ngawethu maana yake ni " kwetu". Shida ni kuwa mmezaliwa wakati wa Zuma. Na utawala wa makaburu una uona kwenye sinema kama hiyo Sarafina.

Amandla....... Ngawethu
 
Ni Amandla. Sio Amaaaanda. Na ilitumika na ANC wakati wakipambana na utawala wa makaburu. Amandla Awethu/Ngawethu maana yake ni nguvu kwa watu weusi. Shida ni kuwa mmezaliwa wakati wa Zuma.

Amandla....... Ngawethu
Mwaka 1990 wakati Mandela anakuja Tanzania; mtangazaji wa hafla hiyo alikuwa ni Sara Dumba.
Baadhi ya nyimbo maarufu zilizokuwa zimetungwa kwa ajili ya ujio wa Mandela zilikuwa ni
1. We are happy Africa to see you here Mandela....
2. Mandela ni mwana wa Afrika yetu kafunguliwa Mandela....
 
Ulikuwa darasa la ngapi wakati huo?

Amandla...
 
Hakika wewe ni vodafasta na ujinga umekupindukia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…