Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Spika ameomba msamaha, Ninakuomba Mama sisi wakristo kwenye kitabu Cha Nabii Habakuki kinasema katikati ya ghadhabu kumbuka Rehema. Mama msamehe Spika. Yaishe. Please.
 
Na anadhihirisha yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya 2025
Ila pia nimeona mama sio mvumilivu. Alishamjibu Ndugai siku ile, angeachana nae tu
Ni kweli angempigia kimya. Ila shida ni kuwa maccm ni washenzi walikuwa wanamdharau huyu mamá Acha wavuruguane tuu bhana
 
Gwaji boy kama namuona vile anavyo smile Dua zake kujibiwa
Screenshots_2022-01-04-18-42-04.jpg
 
Ndugai alijifanya kinara na kujiona yeye ndio Bab kubwa akajisahau akavuka mipaka..Sasa mpaka aliovuka unammaliza...yeye level yake ilikuwa Ni akina gwajima na wapinzani..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Mimi na cheka shetan n vibaraka wake wanavyovurugana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Ndungai anafikilia 2025 kutakuwapo kale kamchezo ka kupita bila kupingwa 🤣🤣
 
Kwa kuwa mama kakorofishwa Ndugai aachie ngazi, angekuwa mwanaume labda angeendelea kukaza kuongoza Bunge, ila si kwa vijembe hivyo, na sasa wataendelea hadi mwenyewe ajichukie!
Both ndungai na Majaliwa wafanye chap kesho asubuhi watangaze kujiuzulu maana soon wataumbuka.
Kwenye hiyo speech ukifatilia utagundua Samia anawachanganya wote ndugai na majaliwa kwenye hili seke-seke.
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Ndugaye kama ana akili tangu jana ilibidi awepo hapa kwetu kibaigwa
 
Uwiiiiiiiiiiiiiii!

Sukuma gang chaliiiiiii

Chato legacy chini!!!!!?!

Nyanengh'we!!
Mkuu hapo unadhani sukuma gang ndiyo wanaisha au wanapungua maana wapo wengi kama sisimizi
 
Hakuna game hapo watanzania asilimia 90% hawakubaliani na ndugai na kimbuka utawala was nchi hii mpia unamvumo wa nguvu za jeshi kichinichi na mama kasha kidhi matakwa ya walimzi wetu wa mipaka pia kwaiyo huo mTego wakategee panya
Kuna mtu ni kama amejaa kwenye kaamtego hivi bila kujua, akili ndefu inatumika hapa!! Baadae mtajua game inavyochezwa!!
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.

Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.

Kwahiyo mnataka nini??

Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.
Jobo mpumbavu huwezi sema ile clip ni editing acha mama ampe za uso
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Hawezi kujiuzuru, sio mteule wa raisi. Labda tu CCM wamvue uanachama.
 
Huyu Nada hana lolote ajibu kwa hoja na siyo vijembe
 
Mama hakupaswa kumjibu hivyo Ndugai, anajitengenezea maadui wasiokua na lazima,

Ok tunasubiri balaza kwa hamu.
 
Back
Top Bottom